Jinsi ya kuipata simu yako kama imepotea/ibiwa

Jinsi ya kuipata simu yako kama imepotea/ibiwa

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
640
Reaction score
615
Kama umepoteza simu yako au kuibiwa una weza kuipata kwa njia ifuatayo.
Awali ya yote tukumbuke kwamba kila simu ina namba yake ya utambulisho yaani IMEI namba na ili kuipata/ kuitambua hiyo namba fanya yafuatayo:
i) Piga namba hii *#06#, hapo simu yako itakuonyesha namba yako yenye digiti 15
ii) Iandike mahali palipo salama isiwe kwenye simu yako
iii)Pindi tu simu yako inapoibiwa au kupotea tuma taarifa ifuatayo kwa E-mail
a. Jina lako kamili
b. Anuani yako
c. Aina ya simu iliyopotea
d. Namba ya mwisho kupiga/kupigiwa
e. Email yako
f. Tarehe iliyopotea na mwisho IMEI namba yako kwendae-mail:
cop@vsnl.net
Simu yako will be traced within next 24 hrs via a Complex system of GPRS na internet hapo utajulisha simu yako iko wapi na ninani anaitumia kwa kutumiwa namba yake kwenye email yako, baada ya hapo utaijulisha polisi kwa vielelezo uliyotumiwa.
Nawasilisha.
 
ASANTE ILA HAPO KWENYE ADDRESS NA KWENYE AINA YA SIMU SIJAELEWA KWAMBA AINA GANI YA ADRESS NA JE KWENYE SIMU TUNAANDIKA HADI MODEL?
 
Ant-theft iliyopo ktk cmu ni mwisho wa yote. Achana na hizi za kudownload.
 
kuna harufu ya utapeli hapa, kwanini nitume imei na email yangu kwa mtu nisiemjua? ni nani hao vsnl?

mtu anaeweza kutrack imei ni mtandao wa simu tu, na sio vinginevyo
 
Back
Top Bottom