Twitter wamenitumia hiiii email kwa email yangu With hundreds of millions of engaged users, Twitter can help you connect with your customers and find new ones. Whatever your business goal, it’s...
Google Pixel Phone IMETOKA MUDA SASA NILIKUA NAOMBA MAELEZO KUHUSU HII SIMU VIPI MAANA SIJAONA WATU WAKIONGELA HUMU JAPO MARA MOJA TUNAWEZA KUWEPOO HUMU WOTE NAKUELEZEA KWA UZURI WAKUU
Nimefiwa na Jirani yangu sasa ndugu wameomba Chonde chonde nifanye lolote account yake iweze Kufungwa hivi inawezekana kweli au Mpaka Niende Ubalozi wa Marekani Dar au Nipige Simu Ubalozi wa...
Habari za leo wakuu, jana nimerudi nyumbani kutoka kwenye mizunguko yangu, nmekuta mtoto wangu mdogo kaigonga TV na kitu ambacho kimesababisha kupata mipasuko midogo midogo ambapo sasa haioneshi...
Habari wadau,
Haya ni moja ya makampuni ya TV ya kichina ambayo naona yanafanya vizuri sokoni kwa sasa. Nimejaribu kuzunguka kariakoo nimeona bei zake zinafanana. Hasa kwa saizi nayoitaka ya 32"...
Naomba kuelekezwa nina simu yangu samsung j7 white ila sasa nataka kubadilisha colour iwe gold
Nimefikiria kubadilisha housing he itawezekana na kwa bei gani ?!
Najaribu kudownload game ya mpira ya android FTS17 siipati kweny google play haipo nimejaribu hata apk imeshindikana hebu naomben mnipe maujanja hapa wakuu
Tangu jana tumeunga kifurushi kwenye king'amuzi na majibu yakaja tayari ombi limeshapokelewa.
sasa tumesubiri mpaka sasa masaa 24 yameshapita hatuoni chochote,, na chanel ni zilezile...
Msaada;Nimehangaika kutafuta app ambayo inalive tv za kibongo maana nyingi nazozipata zinaonyesha channels za nje tu,ipo application niliwahi kuitumia ina Azam1, Azam2 na local channels nyingine...
Ndugu wana jf pc yangu aina ya toshiba inayotumia Windows xp imegoma kutoa volume wala haioneshi network naomba msaada jinsi ya kuweka driver na namna ya kuipata hiyo drver asanteni
Habari za muda wadau?
Na tatizo moja Simu yangu imegoma kuingizia chaji kwa njia ya kawaida kwa muda. Niikiweka charger kwenye soketi ya umeme haipeleki lakini nikitumia wire ya USB kuchajia...
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hapa Tanzania kuna kampuni inaweza niuzia kifaa kitakacho weza nipatia Internet yangu mwenyewe mfano niko kijijini sehemu ambayo bado hakuna huduma ya Internet...
Hakuna kitu kinachokera kwenye matumizi ya computer kama kupokea ujumbe au sauti kuwa kuna file ime-corrupt kwenye computer yako.
najua wengi sana hatuelewi ni njia gani ya kuweza kutafuta hyo...
Habari wana jamvi,nina simu yangu Samsung GT-N7100 ilikuwa inapiga kazi vizuri,ila toka jana inasumbua kwenye network,ukiiwasha minara inapanda vizuri na ukiweka data on,inapga kazi kwenye...
Wakuu kuna kitu huwa nakiwaza sjui nyie mnaonaje?
Hiv facebook na whattsap wakilaunch project yao ile ya kutuma pesa popote duniani itakuaje? Mitandao ya simu hususan kwetu hapa watafanyaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.