Natafuta gamepad za pc

chukua pad za xbox au playstation zitakufaa, zinapatikana uhuru na msimbazi hadi uhuru na congo mkono wa kulia kama unatokea msimbazi
 
Za Xbox zinaingia kwa pc mkuu.. Sjawahi tumia hizi ndo mana nauliza..
 
ndio mkuu zinakubali tena ni official kuna driver zake. vyema zaidi iwe ni yenye waya. cheki amazon pad za xbox 360 ndio best seller hata kwa watu wa pc.
 
Poa mkuu.. Ntaenda kuzicheck manake nnazo nyingine ila ni za kichina so vitu vingi inazingua..
 
ndio mkuu zinakubali tena ni official kuna driver zake. vyema zaidi iwe ni yenye waya. cheki amazon pad za xbox 360 ndio best seller hata kwa watu wa pc.
hizo za waya si shauri maanake nshanunua hzo pad kama 3 nkichezea lazma ianze ksumbua kwenye kuconnect wakat pad haina tatzo wwte

mpaka nlipochukua wireless sahiv mwaka wa oili cjapata tatzo lolote
 
hizo za waya si shauri maanake nshanunua hzo pad kama 3 nkichezea lazma ianze ksumbua kwenye kuconnect wakat pad haina tatzo wwte

mpaka nlipochukua wireless sahiv mwaka wa oili cjapata tatzo lolote
unazichaji au zinatumia battery? hapo mimi ndo zinaponiacha. na hizo za waya ni original za xbox? ulieka driver zake?
 
unazichaji au zinatumia battery? hapo mimi ndo zinaponiacha. na hizo za waya ni original za xbox? ulieka driver zake?
inatumia bettry
zote ni original
driver kila ktu kipo yaan ule waya unavyozingua inakuwa mpaka uunyooshe nyooshe ndo inaconnect ukitikisika ina disconnect
 
inatumia bettry
zote ni original
driver kila ktu kipo yaan ule waya unavyozingua inakuwa mpaka uunyooshe nyooshe ndo inaconnect ukitikisika ina disconnect
inawezekana mkuu, mi sijawahi kutumia xbox, natumia logitech.

ulinunulia hapa hapa hizo wireless? na battery zinakaa muda gani hadi kuisha charge?
 
inawezekana mkuu, mi sijawahi kutumia xbox, natumia logitech.

ulinunulia hapa hapa hizo wireless? na battery zinakaa muda gani hadi kuisha charge?
nop nlinunua malaysia, natumia zile battry za sony zinakaa hadi mwezi tena kama unatumia magame ambayo hayana vibration sana kama mpira na mission ila kama unatumia ya magar sana nadhan two weeks itakuwa imekata
 
Ukitaka zinazodumu nzuri, nunua pad za ps3, unaweza pata used kuanzia 30k, usinunue clone za wachina zipo zimejaa kariakoo mpya wanauza 40k nadhani, tafuta original ukitaka ku enjoy, ukitaka kuzitumia wirelessly, nunua USB bluetooth dongle 5000 tu hapo kariakoo. drivers zake zipo, nazitumia sasa mwaka wa 3, hazisumbui hata kidogo, na ni ngumu sana kuharibika. Hata za ps4 ni nzuri nazo sema bei zake ndio ziko juu.
 
Back
Top Bottom