Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

Fyejmak

Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15
Reaction score
9
Habar zenu wakuu,
Naomba msaada wakulock dvd cd, ili kusiwe na uwezekano wa mtu yeyote kuweza kukopy khaz iliyopo ndani zaidi ya aliye tengeneza,
Nawasilisha.
 
Mkuu hata mie nilihangaika sana kutafuta utundu huo, sikufanikiwa.

Natumai wapo wajuvi wa mambo humu. Chief Mkwawa, Njuna wamavoko na wengineo msaada tutani wakuu
 
Mkuu nadhani anataka kulock copying content za dvd ...inamaana ukizuia hiyo inazuia na ku play
 
No kiongozi, kinachofanyika ni kwamba kwenye dvd deck player inaonyesha but ukienda katika computer dvd rom inas9ma kama empty dvd, hadi uweke pasword
 
Sijui huo utaalam ila nimeshakutana na CD za hivyo nyingi. Hazikopiki mzee...
 
No kiongozi, kinachofanyika ni kwamba kwenye dvd deck player inaonyesha but ukienda katika computer dvd rom inas9ma kama empty dvd, hadi uweke pasword
hapana mkuu still inakopika, ungekuwepo ujuzi hio hollywood wangetumia
 
Hilo swala gumu sana youtube wenyewe kuna video wanazilock na bado watu wanazipakua tu kama kawa
 
Asante mkuu...

Ni kweli nimesoma novel nyingi za agatha christie hasa za hercule poirot
Nimefanikiwa kusoma viwili vinavyomuhusu Harcule Poirot.. The Mystery of The Blue Train pamoja na Poirot's Last Case!

Hakika Agatha ni moja ya waandishi bora kuwahi kutokea katika historia!!
Ingawa vitabu vyake vingi mfano hicho cha kwanza ameandika karibia miaka 70 iliyopita lakini ukisoma hata sasa huwezi kukiweka chini mpaka umekimaliza..
 
No kiongozi, kinachofanyika ni kwamba kwenye dvd deck player inaonyesha but ukienda katika computer dvd rom inas9ma kama empty dvd, hadi uweke pasword
Hapana mkuu hiyo kitu ikifungwa haiwezi kucheza popote hadi uweke password ulizojiwekea wewe mwenyewe.Kwnye computer linaweza kuonekana file lakini ukiweka kwenye player itahitaji password ndipo icheze na kama ukiiweka kwenye DVD at VCD bado shida itakuwepo kwasababu itasoma file empty kwakua huna uwezo wa kuweka password ili kuifungua ikiwa kwenye deck,lakini kumbuka ukitumia mbinu fulani kufunga kitu watumiaji wanaohitaji kuona kilichofungwa watatumia mbinu nyingine kufungua na matumizi yanaendelea kwenye DVD au VCD ni rahisi sana ku-copy kuliko ikiwa zipped na WINRAR au RAR ukaongeza na password yenye Nampa,alama na herufi katika MP4. Baadhi ya converter zinaweza kuconvert videos zilizofungwa kwenye DVD au VCD zikiwa zinaplay na wakati huohuo zinapata uwezo wa ku-copy file katika formats nitakazochagua kutoka kwenye hiyo hiyo DVD au VCD au wewe ndio umeiamini kwa kuifungia code ili isiweze kuwa duplicate sehemu yoyote.Ushauri tafuta program ambayo itakuwezesha kuifanya movie au mziki wako mara unapohamishwa kutoka kwenye original basi itoe picha yenye vibox box na sauti inayokwaruza na kuganda ganda ambayo itamfanya mtu alazimike kutafuta Original kuepukana na kero kwani copy hataifurahia kwani haitatoa picha na sauti vizuri zaidi ya kuganda na sauti isiyo eleweka
 
Lakini juzi hapa nilikutana na dvd ambayo ukiweka kwenye deck ya dvd inaplay kama kawaida lakini katika rom haisomi bali inakua empty dvd
 
Lakini juzi hapa nilikutana na dvd ambayo ukiweka kwenye deck ya dvd inaplay kama kawaida lakini katika rom haisomi bali inakua empty dvd
tumia linux au ubuntu uweze kucopy kama inaonyesha empty..
 
Back
Top Bottom