HTC Desire 320 Boot Loop

ray57

Member
Oct 29, 2013
98
125
Habari wana Jukwaaa.

Nina HTC desire 320.

Inashindwa kuwaka mpaka kufikia mwisho. Inachofanya ni kuwaka mpaka kwenye HTC logo kisha ku restart tena haiendelei zaidi ya hapo.

Uki connect kwenye Pc ina connect na kudis connect kila baada ya sekunde chache.
Msaada wa kutatua tatizo ama kama Hapa Dar es salaam kuna HTC dealers naomba kufahamishwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom