Nani anaweza kunijuza app hii imetengenezwaje?

Nani anaweza kunijuza app hii imetengenezwaje?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Kuna App ya blog moja nimeipenda sana.... Nani anaweza kunijuza jinsi ilivyotengenezwa ili nifanye hivyo... Nahitaji app inayosupport admob
1472908793738.png
 
Mkuu njoo nikutengenezee ni mwalimu cheki na hii BONGO YETU BLOG, ipo playstore
Tutakuwekea playstore Bure 0687535650
 
Kama hiyo ni 60000, pamoja na kuweka hewani
 
Nipe namba mkuu nikupigie tuongee vizuri
 
Back
Top Bottom