Ntaipataje simu yangu iliyoibiwa via TSRA?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,582
Reaction score
14,183
Wadau kuna simu nimeibiwa katika mazingira ya kutatanisha sana, na kwa bahati mbaya siijui IMEI no yake ila mara ya mwisho nilikua naitumia kwa laini ya Halotel

Aliyeiiba kaiba pamoja na laptop na vitu vingine vya thamani, kwa vyovyote atakua ni mtu wangu wa karibu kwa mazingira tunayo kaa

Naomba ushauri wenu kuna namna yoyote naweza kufatilia kujua nani anaiyumia hiyo simu kwasasa
 
Pigs simu huko Halotel au TCRA wape namba yako hiyo ya Halotel wakuangalizie IMEI zilizotumika na hiyo namba alafu kwa kutumia hizo IMEI (kama laini ilitumika kwenye simu zaidi ya moja) ndizo utazitest kuona ya simu yako ni ipi kwa kutuma kila IMEI number kwenda namba *150*90#,

I hope nitakuwa nimesaidia kidogo
 
NENDA HALOTEL WATAKUSHAURI VIZURI ZAIDI
 
Pigs simu huko Halotel au TCRA wape namba yako hiyo ya Halotel wakuangalizie IMEI zilizotumika na hiyo namba alafu kwa kutumia hizo IMEI (kama laini ilitumika kwenye simu zaidi ya moja) ndizo utazitest kuona ya simu yako ni ipi kwa kutuma kila IMEI number kwenda namba *150*90#,

I hope nitakuwa nimesaidia kidogo

Thanx mkuu
Ngoja nikairudishie no yangu ya halotel
 
Tafuta laini ya Halotel hata ya MTU tu uwapigie hakuna haja ya kwenda ktk ofisi zao
TATIZO HUYU HANA HATA imei ZA SIMU ALIYO POTEZA/IBIWA PIA AKIPIGA SIMU HALOTEL ATAONGEA NA CUSTOMER CARE SIYO MFUMO WA UTAMBUZI WA SIMCARD (MOST OF THESE CUSTOMER CARE ARE NOT VERY KNOWLEDGEABLE)
 
kama ilikuwa na google account utaipata imei yako kirahisi kabisa na last location ya simu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom