DSTV wanadai kupunguza bei(JIPU BADO)

DSTV wanadai kupunguza bei(JIPU BADO)

medsebapol

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
327
Reaction score
225
Ni [HASHTAG]#BusinessUnusual[/HASHTAG] DStv, tumepunguza gharama za vifurushi!

Gharama mpya kuanzia LEO! tarehe 1 Novemba 2016 ni:

Premium Kutoka sh.219,000 - 184,000
Compact Plus Kutoka: sh.147,000 - 122,500
Compact: Kutoka sh.84,500 - 82,250
Family: Kutoka sh.51,000 - 42,900

Bomba: Kuanzia Tarehe 15 Novemba 2016 Kutoka sh.23,500 - 19,500

Je, umerejesha huduma yako siku ya leo?
 
Bado bei ni kubwa sana kwa Premium, Compact Plus na Compact!
 
Wamepunguza vizuri ila kwa TZ hii biashara sio rahisi hali imekuwa ngumu Sana, hizi biashara sio za lazima zitapata shida. Pia waondoe charge ya kutumia DVR katika explora hii inaleta hisia ya kuibiwa bila sababu.
 
Back
Top Bottom