Habari zenu wakuu naomba ushauri kwa yeyote anayoijua au alishawahi kutumia photocopy machine iitwayo xerox P255,Upatikanaji wa vipuri vyake,wino na bei ya vipuri.Je inafaa kwa matumizi ya kuchapa...
Wadau, Habari za mida hii, ningependa kuwatangazia kuwa Ile offer ya website na System designing bado inaendelea. Tunadesign vifuatavyo. 1)Website 2)System za shule na vyuo
3)Forums 4)Datting...
Habari wakuu
Naomba mnisaidie site ambayo nitaweza kudownload vet books mf.
natafuta kitabu kinachoitwa veterinary parasitology by MA.Taylor,RL.Cool,RL.Wall
kwani nimejitahidi binafsi kutafuta...
Habari ndugu zangu,
Natumia Itel 1452, whatapp kwenye simu yangu haitumi message ila napokea tu both toka kwa group na individuals ila mimi siwezi tuma kokote.
Nimerboot simu, nime uninstall na...
Kwa Majibu wa account yao ya instagram leo, kampuni ya simu ya Ttcl imekuwa kati ya makampuni machache Africa kuzindua hii 4.5G au LTE-Advanced Pro, Mlimani City leo. Yenye theoretical 1Gbps...
Nilikuwa najaribu kuangalia bei za data kwa mitandao tajwa hapo juu, nilichogundua ni voda na tigo bei zao zafanana kana kwamba walipeana copy za bei mpya baada ya kupanga. nitaweka picha za bei...
Wakuu mambo niaje,
Nahitaji ku install app ambayo nikiplay wimbo popote na kuifungua hiyo app iwe na uwezo wa ku-play lyrics yake automatically.
Msaada wenu wakuu.
Mambo Kuna mtu yupo uarabuni(saudia), nimemuomba anichukulia iphone 5s, lakini ninachanganya kati ya iphne 5s na iphone 5se(sijui ipi ni bora zaidi) naombeni msaada kwa mnaozijua vizuri, naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.