Nahitaji kudownload program za sketching na animation

Nahitaji kudownload program za sketching na animation

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
7,813
Reaction score
5,522
Wakuu mimi nina jicho na mkono wa kuchora chora kwenye paper.
Natamani kugamia digitali tafadhali anayejua program nzuri za kufanyia sketching na animatio anipe
Sijui jinsi ya ku upload ningewaonesha what ican do with pencil and paper!
 
....use sometime link to upload the answer in physics anda geography before breakfast


napita tu
 
ina windows 10 au 8?
Yes Chief mkwawa laptop ina window 10 na nina desk top dell vostro 200 window 8.1.
Sorry for taking longer to revert kyna mamvo yalinikamata nikawa napita kwa tabu humu!
 
Yes Chief mkwawa laptop ina window 10 na nina desk top dell vostro 200 window 8.1.
Sorry for taking longer to revert kyna mamvo yalinikamata nikawa napita kwa tabu humu!
nenda store za windows kuna app za bure search neno sketch utaona app hizi
-fresh paint
-sketchable
-autodesk sketch book

hizo ni app ambazo hazina feature nyingi zinatumia tu talent yako ya kuchora. pia zipo software kama adobe photoshop na illustrator sema hizi itabidi ujifunze kwanza sababu zina ugumu kwenye kutumia.

mwakani mwanzoni windows 10 zitapata update kubwa inaitwa creator update ambayo itakuja na app ya paint 3d yenye uwezo mkubwa kwa watu wanaopenda kuchora zaidi.

sema pia na wewe kama upo serious na kuchora tafuta kifaa cha touch screen windows na kalamu kama za wacom
 
Back
Top Bottom