Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Msaada ndugu zangu simu yangu galaxy note 4 model Sm-N910A imekata network mtandao hausomi lakini internet naweza kutumia.
Kwa awali iligoma kussuport line ya voda nikiweka inaandika phone not allowed [HASHTAG]#mm6[/HASHTAG] lakini nikiwa dar inafanya kazi line ya voda vizuri nikahisi ni sababu ya line yangu ni 4g na mikoani haipo nikawa natumia halotel na Tigo lakini japo halotel hawana 4G lakini nikiweka line ya halotel yenyewe inasoma 4g,
Kibaya sana sasa ni line haisomi network kabisa hata nikiweka line gani zaidi itaandika phone not allowed [HASHTAG]#mm6[/HASHTAG] lakini nikiwasha data naingia net kama kawaida ila nikipigiwa simu haziingii wala sms za kawaida kutoka..
Msaaada please nifanyeje