Tigo Pesa for Developers | Tigo TanzaniaWakuu naomba kujua kama hizi kampuni za simu zinatoa API na taratibu zake zikoje?
Hizo ni api guide sio api. Wakati nadownload api nikaletewa pdf hivyo Nimedownload
Naomba mwongozo wa kutengezea ussd application kam tigo pesa.
Wakuu naomba kujua kama hizi kampuni za simu zinatoa API na taratibu zake zikoje?
Naomba mwongozo wa kutengezea ussd application kam tigo pesa.Kwa wanaotaka tigoPesa API in a better format, here's the link TigoPesa API Documentation
Gharama zikoje mkuu?Kwa wanaotaka tigoPesa API in a better format, here's the link TigoPesa API Documentation