Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Habari; napenda kufahamu mshaara wa clinical officer. 1. Mwenye degree ya clinical officer sio medicine 2. Mwenye diploma 3. Mwenye certificate. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna Telecom Engineer anapatikana, yupo competent kwenye issue zote zinazohusiana na telecom kama ifuatavyo:- 1.Security system -Door access control design, implementation and configuration...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wametoa majina ya usaili bila kuwatumia message au kuwapigia simu wasailiwa...na kutoa kwenye mtandao wao tu .....wanadhani wote wanapata access ya internet wakati wote ili kuingia kwenye mtandao...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hellow wadau hawa uhamiaji lini watatoa majina ya usaili. Asanteni.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Tunatafuta kazi za kufanya usafi katika sehemu mbali mbali hapa Tanzania. Tunafanya usafi katika maofisi ,shule , vyuo , melini na kwenye sherehe. Kampuni yetu imesajiliwa kwa shughuli za usafi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kampuni yetu ya HECI INVESTMENT LTD, iliyopo Dar es Salaam, inatafuta mtaaalm wa Lishe mwenye sifa zifuatazo:- 1. Awe Mtanzania 2. Awe na umri usiozidi miaka 40 3. Awe angalau na diploma ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani Mbona Chuo cha NIT hawaweki matokeo mpaka sasa licha ya walisema watatoa Baada ya wiki Moja. Na Sasa wiki imepita
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, naomba mnijuze watendaji wa vijijini wanalipwa kiwango gani cha mshahara.
0 Reactions
22 Replies
25K Views
Wadau naomba kuuliza kwa yeyote anayemfahamu lini watashort list.... Au tayar wameshort list
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tembelea mtandao wako wa jfasta.com majina yote yanapatikana kwenye ukurasa wa selection status. tembelea jfasta.com sasa! > nenda google andika jfasta.com utatupata kirahisi. >pia kupitia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je hivi ni kweli serikali kupitia wizara ya afya imetangaza kutoa ajira mpya sekta ya afya tarehe 1 may 2016???
0 Reactions
1 Replies
4K Views
habari ndugu zangu..vipi post za mwalimu commercial bank wameshaanza kuita kwenye interview?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi visa vimenikuta mara nyingi sana, yaani mlinzi anataka umpe bahasha afungue aisome kwanza ili athibitishe kama unaomba kazi au mambo mengine. 1. Leo nimetembelea pale TBC- tazara huu mkasa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
VIWANGO VIPYA VYA MISHAHARA KUANZIA JULAI 2014 TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000)...
0 Reactions
10 Replies
22K Views
Habari zenu wakubwa, Napenda kuwauliza kuhusu matumizi ya transcripts serikalini, je unaweza kuitumia kufanyia usaili katika kupata ajira ya serikali? Na kama tayari ni mtumishi wa serikali, je...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Nipo ubungo ni msichana wa miaka 24 ,Elimu yangu ni form 4 ,nahitaji kazi yoyote halali hapa hapa dar . Kama kuuza duka, n .k Kwa mawasiliano nifate pm Asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ? Natafuta mtu wa IT anayeweza kudesign website. Awe Mwanza na awe mtu anayejua anachofanya. Pia natafuta logo designer, awe mwanza pia. If you think you are the one please, njoo PM...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunahitaji Mfamasia aliyesajiliwa na baraza la Fsmasi, Tuko Arusha na DSM! Malipo ni maelewano kwa mujibu wa mkataba. Mawasiliano; 0754809682. Au nenda private SMS kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi niniwaonya juu ya NGO inayoitwa ECHO-AID ambayo ni yakitapeli, baada ya kufanikiwa lengo lao leo hii wametangaza tena kazi wakijiita ECHO-AIDS (wameongeza 'S' kwenye website mpya lkn email ya...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wadau Nauliza niwapi hapa dar es salaam naweza kupata sehemu y kufanya internship ya mambo ya IT & Computer science..? Mm nipo vizuri sana kwenye mambo ya website design, Netwoking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom