Malalamiko kwa NIT (National institute of Transport)

Makaanji

Member
Jan 1, 2013
45
16
Wametoa majina ya usaili bila kuwatumia message au kuwapigia simu wasailiwa...na kutoa kwenye mtandao wao tu .....wanadhani wote wanapata access ya internet wakati wote ili kuingia kwenye mtandao wao......Bila shaka watu wengi wamekosa kufanya usaili huu ...pamoja na mimi...au tayari walishawapanga watu wao...........Ili jibu pia
 
Wewe kushindwa kupata access ya internet unadhani ni kosa lao? Au kwasababu tushazoea kulaumu tu?
 
Wametoa majina ya usaili bila kuwatumia message au kuwapigia simu wasailiwa...na kutoa kwenye mtandao wao tu .....wanadhani wote wanapata access ya internet wakati wote ili kuingia kwenye mtandao wao......Bila shaka watu wengi wamekosa kufanya usaili huu ...pamoja na mimi...au tayari walishawapanga watu wao...........Ili jibu pia
Pole sana mkuu ila mbona kuna watu wamepigiwa cm pamoja na kutumiwa email? Mimi nilikuta miss ya namba yao nika google nikakuta ni wao.Pia nilicheck mail nikakutana na sms yao.Pole sana ila kutembelea website zao ndio mpango mzima maana hata UTUMISHI wao hawatumi sms wala kupiga simu.
 
Hawa jamaa wamenikera mpaka mimi,hata email wameshindwa kutuma kweli? Nimekosa hii interview pia
 
Ndio hivyo kaka mtegemee Mungu tu! Yeye ni ngao yao wakati wa taabu usikate tamaa!
 
Pole sana mkuu ila mbona kuna watu wamepigiwa cm pamoja na kutumiwa email? Mimi nilikuta miss ya namba yao nika google nikakuta ni wao.Pia nilicheck mail nikakutana na sms yao.Pole sana ila kutembelea website zao ndio mpango mzima maana hata UTUMISHI wao hawatumi sms wala kupiga simu.
UTUMISHI wanatuma meseji
 
usikae ukitegemea msg mkuu inabidiuweke extra effort katika hilo...sio kosa lao ilimradi wameweka on website hatakama hawajapiga au wamepigandioishatoka hiyo...just be caaerfull pole sana aise haya hutokea
 
na kweli kuweka kwenye website yao inatosha mana majina mengi hadi wapige simu saa ngapi,,next tym inabd awe anacheki website za watu husika anapoapply kazi
 
Ndo tatizo la kuita wata elfu tano kwa post ya watu wawili. Ni ngumu kutuma ujumbe kwa watu wengi hivyo.

Kama ni hivyo kwenye tangazo waseme ni lini wataita watu ili mtu aweke hata kwenye Reminder app siku ikifika aingie.

Tuna-Apply kila sehemu, tutakuwa tunafanya kazi ya kutembelea mitandao kila siku?
 
Back
Top Bottom