Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 667
habari ndugu zangu..vipi post za mwalimu commercial bank wameshaanza kuita kwenye interview?
ilikuwa 23.03.2016Deadline ilikuwa lini kwani.?
au nazo zile zilikuwa za magumashi.??mi mwenyewe nasubiri
Ok basi subiri baada ya wiki mbili after deadline Mkuu., endelea na ratiba zako nyingine.! Baada ya wiki mbili kupita Ukiona kimya unaweza hata ukawapigia simu wakakujuza kama wameita au bado wapo kwenye mchakato.ilikuwa 23.03.2016
thanks kaka...pamoja sana mkuuOk basi subiri baada ya wiki mbili after deadline Mkuu., endelea na ratiba zako nyingine.! Baada ya wiki mbili kupita Ukiona kimya unaweza hata ukawapigia simu wakakujuza kama wameita au bado wapo kwenye mchakato.
ahaaa pamoja sana mkuu..tutaonanaKitu bado nami pia badubilia cashier
Zile za kipindi kile walizingua kweli yaniau nazo zile zilikuwa za magumashi.??