Cruzoo
Member
- Jan 30, 2014
- 37
- 17
Juzi niniwaonya juu ya NGO inayoitwa ECHO-AID ambayo ni yakitapeli, baada ya kufanikiwa lengo lao leo hii wametangaza tena kazi wakijiita ECHO-AIDS (wameongeza 'S' kwenye website mpya lkn email ya HR na kila kitu kimebakia the same kama ECHO-AID.
1. Finance and Administration Officer Vacancy Job in Dar Es Salaam, Tanzania
2. Careers – Echo Aid Fund
Maswali nayojiuliza:
1. Zoom wanafanya any background check kabla ya kutangaza tangazo la Organisation yeyote kwenye website yao? (Wanajiridhisha kwanza?)
2. Je Zoomtanzania wanafahamu au kunufaika na utapeli huu?
3. Wanahujumiana ama kuna nini hapa?