Kuhusu Usaili Uhamiaji

Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014
Juzi ipi iyo mkuu?au unakusudia zile nafasi za mwaka jana?maana zile ndo zilikuwa na hivo vigezo.
 
Juzi uhamiaji waneandikisha majina kwa wenye elimu ya form 4 had 6 miaka 23 had 26 na uwe umemaliza kati y 2011 had 2014
ni kweli kaka upo sahihi nafasi za uhamiaji zimetangazwa upya katika kambi za JKT
 
kwa hio wale walioandika barua mwz wa 11 vipi
ila mara nying immigration wanaenda koz pamoja na jesh la polisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom