Tunatafuta kazi za usafi

mwangambaku

Senior Member
Oct 9, 2014
109
22
Tunatafuta kazi za kufanya usafi katika sehemu mbali mbali hapa Tanzania.

Tunafanya usafi katika maofisi ,shule , vyuo , melini na kwenye sherehe.

Kampuni yetu imesajiliwa kwa shughuli za usafi na kuzoa taka pamoja na kuuwa wadudu, tupo Kipunguni B , Moshi Bar Ilala hapa Dar es salaam.

Pia tunahitaji wafanyakazi.

Mawasiliano : 0719 835 315 au 0755 099 291
 
Assume naomba msaada wenu wa kufanya usafi kwenye nyumba lyk vyumba vi3,sebule,choo,na bafu. Mwaweza ni charge sh ngap?
 
tunatafuta kazi za kufanya usafi katika sehemu mbali mbali hapa Tanzania. tunafanya usafi katika maofisi ,shule , vyuo , melini na kwenye sherehe. kampuni yetu imesajiliwa kwa shughuri za usafi na kuzoa taka pamoja na kuuwa wadudu, tupo kipunguni B , moshi bar Ilala hapa Dar es salaam.

pia tunahitaji wafanyakazi.

mawasiliano : 0719 835 315 au 0755 099 291

unawafanyakazi wangapi, taja madawa yenu mtayotumia, je mnauaminifu
 
unawafanyakazi wangapi, taja madawa yenu mtayotumia, je mnauaminifu
mpaka sasa tuna wafanyakazi 20 wa kike 12 na wakiume 8, na pia wapo 6 ambao nawaita pale kazi za kuzoa taka ngumu zinapojitokeza. tuna aina nyingi za dawa kutegemeana na eneo husika mfano masinki tunatumia vim , gel na deto na dawa zingine huwa zinanunuliwa na mteja kwa matakwa yake na sisi hutoa huduma ya usafi tu. uaminifu upo wa kutosha kwa vijana wetu sababu tushafanya kazi na kampuni nyingi pamoja na makanisa na hatujapata tatizo la uaminifu.
 
Kampuni imesajiliwa? Ina website?
kampuni imesajiliwa mwaka 2008 kama sole proprietor, japo sasa napigana kuisajili kuwa ltd, web site hatuna , ila tunampango huo mkuu wa kuitengeneza hope by june itakuwa tayari ( tumesajiliwa kama maranatha perfect cleaners )
 
Back
Top Bottom