Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

msaada tafadhali, hiv kbali cha uhamisho kutoka kwa katbu mkuu-utumishi hutumwa kwa njia ipi (n posta au) na je huchuchua muda gani hadi kufka? maana mm kbal cha uhamisho kltumwa kwa mwajir wangu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu Mamlaka ya usafiri wa anga kuna kazi wametangaza ============================== The Tanzania Civil Aviation Authority, (TCAA) was established by the enactment of the Tanzania Civil...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini za jioni wana JamiiForums, Samahani naombeni nisaidiwe hili nilifanya application TRA kwa hizo nafasi za assistant tax na wameniita (waamenitumia email) na kunipigia simu utata wangu ni...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
natafuta IT tech awe anajua kutengeneza website & designing.kampuni yangu ni ndogo ndio inaanza hivo awe anakaa Temeke ili kupunguza gharama za usafiri.pls inbox me .this work from home job/part time
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naanza kujiuliza maswali haya: 1.Itakuwa ya kudumu? 2.Itakuwa ya mkataba? 3.Atateuliwa na Rais? 4.Kama atateuliwa,kwa kipengele kipi cha katiba/sheria kinachotambua cheo hiki? 5.Ataajiriwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
looking for IT tech for part time job duties Website Design Search Engine Optimisation Social Media Marketing Digital Marketing Pay Per Click (PPC) E-Commerce & Online Shop Design & Branding
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangwala. Serikali inapanga kuajiri watumishi wa sekta ya afya zaidi ya 10,000 mwaka huu wa fedha 2015/16, ili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
wadau ningependa kujua ni wap hapa TZ wanatoa training ya accounting package ya SAGE PASTEL EVOLUTION na kutoa vyeti.
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Habari wanajamvi, Kuna Dada yangu ana certificate ya nursing. Ame'volunteer hospitali fulani hapa Dar zaidi ya mwaka ila hakuweza kupata kazi. Naomba kma kuna yeyote anaweza kunisaidia kwa hili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada kujua ya kuwa, ni sahihi kutype barua ya maombi ya kazi?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nahitaji mtu mchakarikaji pale Mombasa nimuagize kitu. WhatsApp +255 779 420 000
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi ni kwel kuna ajira mpya zinatangazwa au soko la ajira limeshajaa sasa kinachofanyika ni kubadilishana wafanyakazi maana kila kazi experience at least 3 years sasa swali ni je hawa fresh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipenda kusikia Sera ya rais wetu Sera ya HAPA KAZI TU Sera hii nilijua inamlengo wa kimapsna zaidi na kazi au ajira kwa vjana na watu wote kwa ujumla lakin cha kushangaza naona kama imelenga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau..? nauliza kuna alieitwa au kupata tetesi za hizi bank mbili wanaita lini interview, FNB nafasi za Dodoma na Arusha, Mwalimu sijui hata ni Branch zipi... Msaada wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nataka kuanza door to door campaign na CV zangu mkononi. Sasa nataka kujua makampuni, taasisi za binafsi na serikali zilizopo Bongo ili kuanza kupeleka maombi. Naomba kama unafahamu taasisi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hellows, I am a consultant at Oriflame Beauty products company based in Tanzania.. Am looking for business partner to work with from Kenya... Our company products range in makeup, skin, body...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Hard disk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za Karume day? Wapishi wenye uzoefu wa kupika vyakula safi na vyenye ladha nzuri kwenye shughuli kama harusi,send off,kitchen party,misiba,mikutano nk Tupo full na vifaa vyetu kama food...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna mwenye kujua kama mkombozi bank wameita zile kazi walizotangaza juzi kati?
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habarini, Kwa wale mlioapply post mbali mbali muhimbili university mwaka huu majina yapo kwenye website yao. ======================== Shortlisted applicants for practical and written...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom