Food Scientist is needed

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
7,332
14,262
Kampuni yetu ya HECI INVESTMENT LTD, iliyopo Dar es Salaam, inatafuta mtaaalm wa Lishe mwenye sifa zifuatazo:-
1. Awe Mtanzania
2. Awe na umri usiozidi miaka 40
3. Awe angalau na diploma ya Nutrition, Food Science, Food Technology au kozi yoyote inayofanana na hiyo.
Tuma maombi yako ukiambatanisha vyeti vyako na CV Kwa e mail ifuatayo:-
heci10@yahoo.com
Kwa mawasiliano zaidi piga simu zifuatazo
0715-803040 na 0717454455
 
Wapendwa,
Nachukua fursa hii kuwajulisha kuwa tumeshapata MTU.
Naomba msitume CV zenu wala msipige simu.
Asanteni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom