bint white
Senior Member
- Oct 4, 2015
- 163
- 316
Nipo ubungo ni msichana wa miaka 24 ,Elimu yangu ni form 4 ,nahitaji kazi yoyote halali hapa hapa dar . Kama kuuza duka, n .k
Kwa mawasiliano nifate pm
Asanteni
Kwa mawasiliano nifate pm
Asanteni