Natafuta Website & logo designers

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,328
Habari ?

Natafuta mtu wa IT anayeweza kudesign website. Awe Mwanza na awe mtu anayejua anachofanya.

Pia natafuta logo designer, awe mwanza pia.

If you think you are the one please, njoo PM. Unapokuja PM Uwe na majibu haya:
1. Bei yako ni sh. Ngapi ?
2. Umedesign website gani zingine kabla?
3. Umedisign logo zipi zingine zinazotumika hadi sasa?

NB: kama unaweza kazi njoo tu PM.

Asante.
 
Wewe unaonekana mjuaji ikiwa hujui kitu,ulichotakiwa useme nataka mtaalam wa hicho unachotaka na ujue gharama zake ingetosha,hiyo ya awe anajua anachofanya atakuja mtu asiyejua kweli?tengeneza mwenyewe kama mjuaji.
 
Kuna faida umepata kwa comment yako?!! Anyway, Asante kwa kuniwekea maneno mdomoni.
 
Habari ?

Natafuta mtu wa IT anayeweza kudesign website. Awe Mwanza na awe mtu anayejua anachofanya.

Pia natafuta logo designer, awe mwanza pia.

If you think you are the one please, njoo PM. Unapokuja PM Uwe na majibu haya:
1. Bei yako ni sh. Ngapi ?
2. Umedesign website gani zingine kabla?
3. Umedisign logo zipi zingine zinazotumika hadi sasa?

NB: kama unaweza kazi njoo tu PM.

Asante.
Mkuu nimekusoma, logo elfu 30, website tuzungumze kwanza nijue ya aina gani, sisi ndio Index Technology Tanzania, tunafanya hosting wenyewe, hatu outsource, tupo dsm, support yetu ni nzuri hata baada ya kumaliza kazi sio tunakimbia. Hutajuta.Tembelea www.index.co.tz na www.karibuhost.com au call 0715812160 au 0764452424
 
Wewe unaonekana mjuaji ikiwa hujui kitu,ulichotakiwa useme nataka mtaalam wa hicho unachotaka na ujue gharama zake ingetosha,hiyo ya awe anajua anachofanya atakuja mtu asiyejua kweli?tengeneza mwenyewe kama mjuaji.

Ni kweli...unajua kwa kuwa ajira zimekua ngumu basi watu wanatangaza kazi kwa majivuno na mbwembwe kweli kweli utadhani hawana shida na hao wafanyakazi... ni ujinga sana huu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom