Mshahara wa watendaji wa vijiji

Mshahara wa watendaji wa vijiji

Mkononi

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
10
Reaction score
0
Habari zenu waungwana, naomba mnijuze watendaji wa vijijini wanalipwa kiwango gani cha mshahara.
 
TGS B-kama ni certft
TGS A-kama ni std7

Hakuna mwenyekiti wa kijiji std7 sikuhizi ,kuna mwenyekiti wa kijiji III level ya cert na mwenyekiti wa kijiji II level ya degree/adv dipl/diplo.
 
siyo mwenyekiti ni mtendaji. Village Executive Officer (VEO)
 
Bado hajapatiwa jibu mtoa mada...!mnaojua mpeni jibu.
 
mtendaji kijiji III-laki 3na 45
mtendaji kijiji II-laki 4 na 50 mpaka 70
 
Mkuu zimetoka nafasi za kazi?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Watendaji hawana mishahara ila ni akili yako. Mshahara ni muhuli ulopewa.
 
Hakuna mwenyekiti wa kijiji std7 sikuhizi ,kuna mwenyekiti wa kijiji III level ya cert na mwenyekiti wa kijiji II level ya degree/adv dipl/diplo.

umewaacha form 4 ambao ndio wengi huku, labda uwe umehamia mjini muda mrefu.
 
Hakuna mwenyekiti wa kijiji std7 sikuhizi ,kuna mwenyekiti wa kijiji III level ya cert na mwenyekiti wa kijiji II level ya degree/adv dipl/diplo.

We ni mbuzi kweli mwenyekiti tena. hapa tunaongelea mtendaji. halafu unakataa nini kuwa veos std7 kuwa hawapo? mimi WEO wangu ni std7 kaajiliwa kama kaim veo 97 na akathibitishwa kuwa veo kamili 2001 sasa ni weo, usibishe nyambafff ww
 
Back
Top Bottom