B Baracka wilfred New Member Apr 3, 2016 2 0 Apr 3, 2016 #1 Je hivi ni kweli serikali kupitia wizara ya afya imetangaza kutoa ajira mpya sekta ya afya tarehe 1 may 2016???
Je hivi ni kweli serikali kupitia wizara ya afya imetangaza kutoa ajira mpya sekta ya afya tarehe 1 may 2016???
mjerumaniwapahi JF-Expert Member Sep 4, 2014 352 239 Apr 3, 2016 #2 Kiswahili kigumu!!!! Sema itatangaza 1\5 maana ni wakati ujao siyo wakati uliopo