Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nimejiajiri Kazi ya kuangamiza wadudu hatari Majumbani ka Mende, mmbu, kunguni, viroboto nk. Kwa mawasiliano ;- email Ni gkileo@gmail.com Simu Ni :- 0712006076 au 0765449802.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ajira hii imetangazwa hapo sio mbali na nchi yetu, kwa Uhuru tu hapo..yani sales awe toka high school tu na store keeper awe na degree na sasa sijui ni chuo gani kinatoa degree yakeeper...!!mmh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar ndg zangu. Mm ni binti nina umr wa miaka 24 ninaelm ya chuo diploma ya journalism,ninatafta kaz ya kufanya usaf maoficine mwenyekuweza kuniunganisha ama kunipatia ani pm
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Kuna Mtu aliyeitwa kwenye usahili wa hii post ya marketing and communication officer katika NGOs ya Agape aids control programme based in shinyanga. Kama yupo naomba ani PM tute jambo
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Habari WanaJF naulizia zilipo ofisi za WFP kwa hapa tz coz nataka kuomba internship.. Niko interested na shughuli zao za kuend hunger #zerohunger at the same time kudevelop my career, hvo anejua...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Online Data entry jobs.
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Natafuta kazi inayohusiana na nasuala ya kilimo na mifugo. Ninayo Elimu ya (stashahada)diploma in general agriculture. Jinsia yangu yakiume Ninaumri wa miaka 23. Kwasasa napatikana dar es salam...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Kuna tabia moja muhimu sana ambayo inaonekana kwa watu waliofanikiwa sana kwenye kila nyanja ya maisha. Tabia hii kuna watu wengi wanayo ila hawajajijua na kuanza kuitumia na hata kama huna...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wasahiliwa wenzangu je kwa wale tuliofanya usahili siku ya tarehe 20/06/2016 kwenye kada ya office assistant je watu wameshaanza kuitwa? nisaidieni kwa majibu jameni!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi Fundi umeme wa Nyumba mwenye uzoefu mkubwa..na nina certificate kutoka Veta..Pia nina Store keeping Certificate mbili moja kutoka NBMM na nyengine T.I.A...naomba kazi kutoka mtu yoyote mwenye...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
  • Redirect
Natafuta kazi yoyote halali Natafuta kazi yoyote halali
0 Reactions
Replies
Views
Mambo vip? Ninatafta kaz mtaani pagumu sana mm ni bint elimu kidato cha nne kwa ssa napatkana mjoa mpya wa geita ninatafta kaz ndg zangu walau nikipata pesa mwakan nirisit nimekaa home tang 2010...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
TCRA imetangaza nafasi ya kazi magazetini ya mwandika hotuba ofisi za ITU zilizoko Geneva uswisi kwenye gazeti la Raia mwema ukurasa wa Tano.Maombi yanatakiwa kutumwa TCRA KAZI YENYEWE HIYO HAPO...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi in mwanachuo wa Chuo Fulani pale Arusha,nasomea degree ya sheria na naingia mwaka wa pili mnamo mwezi wa kumi..natafuta kazi ya muda ya kufanya(part time) ili niweze kujiendesha...Nna uzoefu...
1 Reactions
0 Replies
670 Views
J& k company limited. YAH:USAJILI WA MWANZO WA WANAKAMPUNI PAMOJA NA UTAMBULISHO WA KAMPUNI. Mambo vipi wadau.kichwa cha habari hapo juu chausika.dhumuni ya andiko hili ni kuitambulisha kampuni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habar zenu wadau! Naomba kujua jambo hili. Ivi mtumishi wa Serikali ktk halmashaur yeyote ile anaweza akajiunga Police au Magereza au Uhamiaji au JWT! Je Taratibu za Kiutumishi zinaruhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vijana ambao mliomba kazi zile zilizotangazwa mwezi wa 10 na Mkafanya Interview mkiwa wengi Pale Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Mkiwa wengi sana. Habari za ndani zinasema...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari wana jamiiforum. Naomba kama kuna Afisa Mtendaji wa Kata kutoka wilaya za Dar au Pwani atakayependa tubadilishane aje Siha Kilimanjaro. Thanks in advance.
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Wadau ,...anatafutwa mtu wa sales and marketing katika biashara ya kuuza vyakula...hasa hasa wasichana....karibuni Aliyetayari please pm me
3 Reactions
6 Replies
2K Views
PSPF wanataka salary slip ya mshahara mpya wakati Serikali haijatoa mshahara mpya mpaka uhakiki uishe. Je hii ni haki kwa sisi tunaostaafu mwezi ujao?
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Back
Top Bottom