Mshaara Wa Clinical Officer

Peter Lemi

Member
Mar 30, 2016
39
62
Habari; napenda kufahamu mshaara wa clinical officer.
1. Mwenye degree ya clinical officer sio medicine
2. Mwenye diploma
3. Mwenye certificate.
Asanteni.
 
Sidhani kama hiyo degree ya clinical officer tuna graduates tayari

Sijui
 
Tanzania hakuna degree ya clinical offer
kuna advance diploma, diploma, na certificate mishahara inalingana na nurses. Accept degree ya nursing inazd scale ya Amo
 
Back
Top Bottom