Mkuu idadi ya watu walio view hii thread inatosha kulingana na mda iliopostiwa, maelezo yanataka mawasiliano ya simu na PM. Ndio maana huoni commentsJF naona kila mtu ana kazi, sioni watu wakichangamkia nafasi za kazi, ungepost mapenzi ungeona post yako ambavyo ingepata likes na comments nyingi