Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Habari wadau
Nauliza niwapi hapa dar es salaam naweza kupata sehemu y kufanya internship ya mambo ya IT & Computer science..?
Mm nipo vizuri sana kwenye mambo ya website design, Netwoking installation and configuration, database management & small mentainance of computers and other ICT devices.
Natanguliza shukrani sana.
Kwaanaye jua naomba ani PM au comment
Mungu awabariki & kuwalinda.