Telecom Engineer competent anapatikana

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
368
425
Kuna Telecom Engineer anapatikana, yupo competent kwenye issue zote zinazohusiana na telecom kama ifuatavyo:-

1.Security system
-Door access control design, implementation and configuration
-Closed Circuit Television (CCTV )design, implementation and configuration

2.Data network design, implementation and configuration
3.Designing of Datacenter rooms, servers installations and configuration
4.General WAN &LAN designing and configuration
5. Transmission and power systems in different categories
6.Pia anafanya fiber installation pamoja na splicing

Kama kuna nafasi ya kazi au kuna mtu anahitaji huduma tajwa hapo juu, unaweza ukawasiliana naye kwa namba 0716420059.
 
Nakushauri upeleke maombi yako pale UBUNGO PLAZA katika ofisi za mradi wa mabasi ya mwendo haraka (DART) nadhani sifa zako zitafaa sana pale.
 
Jiajiri,uza smartphone utapata mtaji,fungua frame ,weka bango kuhusu hizo kazi zako, jitangaze sana....

Ndani ya mwaka utakuwa unaingiza karibu 1million per day...utaajiri na wengine....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom