Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mapenzi yapo huduma zote ananipa majina yote ya mahaba naitwa, ila kama mwanaume alieenda shule na kujitambua naona kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa. Men we need to be...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Binti kaanza kunywa p2 tangu form 1 mpaka chuoni, wewe unavamia treni kwa mbele kujifanya mtakatifu eti uende kufunga nae ndoa ya kitakatifu, ogaaaaa utaumiaaaa, utaliaaaaaa !! Piga sana karanga...
4 Reactions
11 Replies
799 Views
Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye...
15 Reactions
63 Replies
7K Views
Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto. Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale. Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Aisee, ule wimbo wa Mwana FA BADO NIPONIPO kuna verse inasema "alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi. Ninaishi Moro mijini. Natoka zangu kwenda mihangaikoni ghafla nakutana binti...
16 Reactions
145 Replies
8K Views
Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
5 Reactions
6 Replies
622 Views
Hii ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14. Imetokana na Mtakatifu, Askofu wa Kanisa Katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo aliyeitwa Valentino. Siku hii watu wengi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Angalia tu hata kwenye contact list yako. Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Dear Beautiful sunshine, I hope this puts a smile on your face because whenever someone calls me handsome, it makes me smile. Every morning look at yourself in the mirror and say"I love you...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Acheni kupiga vita ndoa, kwani ndoa ni mpango wa Mungu, bila kujali dini yoyote. Kwamba zina shida na changamoto nyingi ni kweli, lakini hii haifanyi ndoa kuwa kitu kibaya, kumbukeni ndoa ni baina...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah! Huyu mwanamke anajikuta ni...
13 Reactions
100 Replies
10K Views
Mkaka mmoja alilalamika kua: Atamnunulia nguo huyo mwanamke kila week mdada akiona nguo nzuri mwanaume atanunua Atampeleka outing mara nyingi kwa gharama zake Atamlipia hela akasuke aweke kucha...
1 Reactions
4 Replies
423 Views
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti. Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili...
4 Reactions
6 Replies
712 Views
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo? Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho? Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo...
2 Reactions
2 Replies
617 Views
Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu? Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata...
15 Reactions
44 Replies
2K Views
Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na...
1 Reactions
3 Replies
589 Views
Yawezekana ukawa muhanga kwa sasa au ukawa tayari umepitia hali hiyo na ukikumbuka unajishangaa ni vipi uliweza kuvumilia ilihali ulikuwa unafukuzwa? Au ulipewa dawa? Muda mwingine sio dawa bali...
3 Reactions
7 Replies
920 Views
Back
Top Bottom