Ukienda kwa nduguyo mwenye mke

Ukienda kwa nduguyo mwenye mke

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,338
Reaction score
5,670
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?

Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs.

Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
Imeisha hiyo.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
Wewe jamaa kiboko sana.Umeeleza mambo mengi kwa sentensi mbili tu?Anyway,wamekupata.
 
Ndiyo sababu itakayonifanya niwe na open.relation ship na sio commited Kwa kiapo Cha ndoa!!

Mwanamke anakua submissive akiwa na shida pekee yaani akiwa na mashaka na future yake ,lakini akiwa kaanza kuone mbele yake yaani kaolewa ana kamjengo kakulelea watoto na kabisashara kakuingiza vihela anaanza kubagua watu,hataki parasites anataka watu was faida tu!!
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.

NAKAZIA
 
Itoshe kusema tu mwanaume utapata heshima kwa hawa viumbe pale unapokuwa financially stable vingenevyo utaonekana kama mbwa,au takataka
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
Maisha ya kuishi kwa ndugu bora uishi guest house na ndugu wasifahamu upo huo mkoa.
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
Kwa hawa wanawake mnaooa.

Mimi nimekaa sana kwa Shemeji na sikuwa kuona rangi yoyote
 
Wakuu niwastue au niwaache....leo mnapgaje hapo?
Aisee mkiwa ndugu tena wa family moja mara nyng mtakuwa wamoja sn kabla mmoja mmoja hajaoa ila mkshaanza kuoa uwenda na undugu ukabaki wa damu tu na si vngnevyo sasa nakusanua ww unayejpanga kwenda kwa ndugu yako aksaidie au hata kama amekuita mwnyw uende kama ameoa au ana mke kwa kfupi kama huna mchongo unaoeleweka jpange usmalize mwez pale wanawake huwa hawawez ishi na ndugu wa mume hasa huyo ndugu akiwa anamtegemea nduguye kufaniksha mambo yake hakuna rangi utaacha kuona huko uendako jpange ipo sku utambiwa kuosha vyombo mwanzon mtakuwa sawa ila kadri sku znavyoenda ndo unazd onekana ktuko hasa nduguyo awe anatoka asbh we anakuacha na mkewe utajua hujui women are devils kbs. Mwenye shuhuda alete yaliyowahi mkuta.
Ni mkeo sio wote wako hivyo
 
Kwa maisha ya sasa kwenda kuishi kwa ndugu yako aliye oa, siyo vizuri
 
We Choosen85... Umepigaje hapo?
 
Back
Top Bottom