Habari wakuu, kama mada inavyosomeka hapo juu,
Mimi ni kijana miaka 34 sasa nimeoa nina watoto wawili, Mwaka 2021 nilikutana na huu mchepuko katika harakati za utaftaji na tukaanzisha mahusiano...
Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre...
Wakuu,
Nina shemej yangu mmoja wa kike yuko serikalini, ni mchumba wa rafk yangu mmoja wa karibu anafanya kazi maliasili uko mkoani.Huwa anakuja Dar mara moja moja sana kwa mwezi.
Huyu binti ni...
Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani.
Siku ya...
Hivi ni kwa nini lugha inaonekana kukosa mvuto hasa kwenye suala la mapenzi? Utamwakaji wa maneno kama vile: nakupenda sana hauna mvuto kama vile '' i love you so much'' pia maneno kama vile '' i...
Aisee, bila ujanja, hawa viumbe hutowafaidi. Utaishia kujichukilia sheria mkononi hadi iishilie.
Basi bhana. Wiki mbili zilizopita niliamua kumsarandia baada ya wanaume karibu wote kumshindwa...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano.
Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao...
Isi unavyoweza, kutokana na ndoa kuwa ngumu kila dume lililopo kwenye ndoa kulalamika ooh namuhudumia lakini haniheshimu ananisaliti nk sasa kwangu nimekuja na mfumo wa fo4 fo4 two huu mfumo...
UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA.
Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana.
SIFA ZA WATU HAO
1.Wakiwa...
Mpaka sasa najuta sana kulisikia neno "TANESCO" masikioni mwangu. Basi bhana! Mida ya saa 12 niliwasili hapa Ubungo kwenye hii fly over ya Kijazi, pembezoni mwa jengo la mitambo ya umeme
Nikiwa...
Hawa viumbe wana shida ndugu zanguni. Muda huu tumetoka kuachana njia, yeye kaelekea kazini kwake na mimi naelekea mahali nikabadili hii suti yangu ili nivae vikali vyangu vya kutembezea nguo za...
Twende kwenye kisa:
Mwaka 2022 mwezi September kuna binti nilivutiwa naye kutokana na kuwa na sura yenye nuru na tabasamu, shape 8 na trako la kwenda likiwa na tabia mbaya ya kunesa nesa...
Mwanaume kavutiwa na wewe, karusha ndoano, umekubali. Usiku huo huo unaanza mizinga, naomba 150,000/- mama mdogo ana fibroid anatakiwa upasuaji. Kwa shingo upande unampa.
Baada ya siku mbili...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari tajwa,
Niende kwenye mada isemayo utapeli wa mapenzi unafanyika siku ya Valentine Day.
Kama mjuavyo mwezi huu wa pili tar 14 Huwa ni siku ya...
Wakuu mko poa?
Miaka kadhaa ilopita mtaani kwetu huko mkoani tulipata Ugeni. Familia Bora kabisa ilihamia Mjini pale. mbali na Hayo familia Ile ilikuja na Zawadi! Zawadi Adhimu ambayo kila...
Habari za wakati huu
Moja kwa moja niende kwenye mada husika maana huu uzi nitaleta na utajumuisha matukio mbalimbali kwenye maisha yetu ya ndoa.
Moderators msiuchanganye wala kubadilisha title...
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.
- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa)...
Wakuu habari za blue monday!
Labda niulize swali,hivi watoto wa kike karne hii ya 21 wanazaliwa wakiwa hawana "seal" au mambo ya tabia nchi yanafanya ziondoke zenyewe?
Maana kwakweli nilishahaso...
IKiwa ni wiki ya kumbukizi ya siku ya wapendanao, hivyo naomba kwa ufupi zawadi ya kumpa mrembo wangu ( penzi jipya). Karibuni maoni na mapendekezo yako ni muhimu
nb: penzi jipya mambo yasiwe mengi😊
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.