Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,449
- 3,135
Nimeishi na mke wangu kwa miaka zaidi ya kumi na tumepata watoto.
Katika miaka yote hiyo sijawahi kumpiga wife ukiacha kuzunguana hapa na pale.
Sasa juzi kati alinizingua vibaya nikajikuta nimempiga kama mtoto mdogo . Nilimtia mikanda ya miguuni na kwenye matako.
Kesi ilikua kubwa kichizi mpaka wakwe wakawa wanashangaa na kuwa upande wangu!
Cha ajabu baada ya kesi kuisha mke wangu ameongeza mapenzi ajabu! Yaani kama kwenye muvi, kunyandua saa nataka na ameongeza makeke! Kila kitu ananifanyia kwa wakati. Hii haikua kawaida yake. Yaani ni kama kazaliwa upya.
N. B. Najuta kumpiga maana niliapa sitampiga mke iwe iweje.