Wewe ni mmojawapo kati ya wale watakaodanganywa leo?

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,586
50,683
Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu?

Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendana🥰lakini ukikutana na wale wa “babe I will call you in the next 5minutes” na asipige au simu iliğe charge ghafla,hakika mapenzi yatakuwa changamoto🙂

So siku ya leo kuna watu watalia😁maana simu simu za wapenzi wao zitaisha charge,zitadumbukia kwenye maji au vyovyote başı tu ilimradi shetani aharibu Amani kwenye mahusiano ,,kuna watakajiona wao ndio wenye dunia sasa wengine wote ni kama wana wa israel jagwani(dada usisahau p2 hata kama zimepigwa marufuku)(na wewe kaka usitembelee rim ok😁)
Kuna watu watapata presha leo😁usijali jaman ndio life.haloooo💃💃

Wacha nizungumze na wadada☺️kama jamaa alikukaushia kipindi chote hicho halafu leo anajitia kukumiss hahahaa…hakikisha unamnyoosha mawe ya kutosha hallelujah !! Maana siku ya leo ikiisha hatokutafuta tena😅.

leo ukiona kuna mjanja kalızwa basi ujue kuna mjinga kapendwa 😁
kama huu uzi utakukuta ukiwa single, 😁😁kwa heshima na taadhima,tafuta penzi lililolegea ujichomeke hakuna mtu asiye na mtu😁😁sijui mmenielewa jamani…😎mshindi atatangazwa kanisani👩‍❤️‍💋‍👨

Singoz wote tuko pamoja kama pair za viatu boat letu ni moja😁.

🐒🐒🐒

Hallelujah
 
Habari ya wakati huu..uzi huu unakukuta sehemu gani ya kudanganywa?kitandani?unatembea?kwenye daladala?uko vacay?au ndio hueleweki ndugu mtanzania mwenzangu?

Bhana mapenzi ni matamu sana ukimpata mtu mnaeendana nae na kupendanalakini ukikutana na wale wa “babe I will call you in the next 5minutes” na asipige au simu iliğe charge ghafla,hakika mapenzi yatakuwa changamoto

So siku ya leo kuna watu wataliamaana simu simu za wapenzi wao zitaisha charge,zitadumbukia kwenye maji au vyovyote başı tu ilimradi shetani aharibu Amani kwenye mahusiano ,,kuna watakajiona wao ndio wenye dunia sasa wengine wote ni kama wana wa israel jagwani(dada usisahau p2 hata kama zimepigwa marufuku)(na wewe kaka usitembelee rim ok)
Kuna watu watapata presha leousijali jaman ndio life.haloooo

Wacha nizungumze na wadadakama jamaa alikukaushia kipindi chote hicho halafu leo anajitia kukumiss hahahaa…hakikisha unamnyoosha mawe ya kutosha hallelujah !! Maana siku ya leo ikiisha hatokutafuta tena.

leo ukiona kuna mjanja kalızwa basi ujue kuna mjinga kapendwa
kama huu uzi utakukuta ukiwa single, kwa heshima na taadhima,tafuta penzi lililolegea ujichomeke hakuna mtu asiye na mtusijui mmenielewa jamani…mshindi atatangazwa kanisani

Singoz wote tuko pamoja kama pair za viatu boat letu ni moja.



Hallelujah

Tuko pamoja single is bae
 
I mean no malice to nobody
FB_IMG_17076831821206615.jpg
 
Back
Top Bottom