Huyu mrembo hawezi kunivumilia nikifilisika, kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,277
21,455
Mapenzi yapo huduma zote ananipa majina yote ya mahaba naitwa, ila kama mwanaume alieenda shule na kujitambua naona kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa.

Men we need to be realistic, huyu mrembo hawezi kunivumilia nikifilisika kabisa na nikianza kazi ya boda bado incase, hata nipenda kamweeee, their hypocrical in nature utawasikia mimi siko hapa kwa ajili ya pesa zako... ....

Sasa filisika kabisa ndio utaona the true colours of a woman, mimi sitaki stress au fatique nimemuambia live baada ya kuninunia sasa wiki nzima kisa pesa za kijinga kijinga.

I declare openly siku nitakapofilisika au nikipata ugonjwa wa kudumu sitarudi nyumbani nitaanza maisha mengine na low demanding woman mwenye humble beginning wa kijijini with low education level as long as she can scream in the bed, huyu slay queen ntaachia wenye uwezo wa pesa wasio jua kwamba wako after money tu.
 
It is wise, but usijiwazie mambo sana mabaya japonkwa tahadhari inarusiwa.
HAtua muhimu ya kutatua tatizo lolote ni kwanza kugundua tatizo kuwa lipo.

Uko kwenye nafasi nzuri so far
 
Mapenzi yapo huduma zote ananipa majina yote ya mahaba naitwa, ila kama mwanaume alieenda shule na kujitambua naona kiunganisho kikuu na yeye ni hali yangu ya uchumi kwa sasa.

Men we need to be realistic, huyu mrembo hawezi kunivumilia nikifilisika kabisa na nikianza kazi ya boda bado incase, hata nipenda kamweeee, their hypocrical in nature utawasikia mimi siko hapa kwa ajili ya pesa zako... ....

Sasa filisika kabisa ndio utaona the true colours of a woman, mimi sitaki stress au fatique nimemuambia live baada ya kuninunia sasa wiki nzima kisa pesa za kijinga kijinga.

I declare openly siku nitakapofilisika au nikipata ugonjwa wa kudumu sitarudi nyumbani nitaanza maisha mengine na low demanding woman mwenye humble beginning wa kijijini with low education level as long as she can scream in the bed, huyu slay queen ntaachia wenye uwezo wa pesa wasio jua kwamba wako after money tu.
🤣🤣🤓
 
Kwanini unahisi hivi? What if hayuko hivyo?
 
1707548339898.jpeg
 
Back
Top Bottom