BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,406
Aisee, ule wimbo wa Mwana FA BADO NIPONIPO kuna verse inasema "alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi.
Ninaishi Moro mijini. Natoka zangu kwenda mihangaikoni ghafla nakutana binti njiani,kajihifadhi vizuri kimavazi. Nikamtongoza akakubali na kunipa namba fasta.
Siku ya pili nikamwalika geto akaja na nikampima HIV kwakutumia vipimo vya pharmacy nikala mzigo. Sijui hili wala lile kumbe Binti kachumbiwa na amezalishwa na huyo mumewe mtarajiwa.
Alinificha kuhusu uchumba ila mwenye nyumba wangu nimemsikia akimsifia kuwa katulia na anaolewa soon.
Nilivyomuuliza binti kakubali nikweli anaolewa tarehe 25 ila ananipenda sana kuliko jamaa. INASHANGAZA SANA. Kanambia hata nikitaka mzigo usiku wa kuamkia siku ya harusi atanipa.
Jamaa anemuoa nasikia yupo vizur tu na kabadili mpaka dini kisa huyu binti.
HALI INATISHA JAMANI
Sent using Jamii Forums mobile app