Habarini
Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi
Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona...
Majuzi rafiki yangu alikopa pesa huko sijui mgodi sasa alipoanza kudaiwa ni mesage ya Mgodi ila siku ingine ni namba kama namba.
Sasa kajuaje anadaiwa na huku ni kitu cha siri. Hata ukiwa na...
The first day nimeanza kazi I knew he was the right guy for me, he is smart, intelligent, wise and successful. Yaani I couldn’t help myself nikamwambia ukweli kuwa am in love with you boss. He...
Ni rahisi kuwaona wahusika wakiwa na maisha ya kawaida lakini ni ngumu kujua wanayopitia.
- Upweke
- Ugumu wa ndoa mpya hasa kwa umri mkubwa
- Kumbukumbu/ memories zinazotonesha kidonda
Habari za muda huu
Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye...
Habari wadau,
Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu.
Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana...
Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana.
Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni...
Wadau,
Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
Habari wana JF, ni mimi hapa nguli wa mapenzi, a.k.a mzee wa ovyo, hapa kitaani ukiulizia nyumbani kwa mzee wa matikiti kudondokeana unaletwa hapa mlangoni kwangu
Basi bhana, miezi miwili...
Nimekuwa nikiwa katika mahusiano na risk tofauti lakini hakuna aliyekuwa afadhali!
Wanaamini wao ni wakuhudumiwa yeah ni wakuhudumiwa ila sasa wamezidi kutoka katika kuhudumiwa na kufanya fursa...
Salaamu wana MMU...
Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..
Usisahau...
Ni kawaida kuwaona wakiita besti, mara rafiki mara shosti nk nk huku wakienda mbele zaidi na kupiga picha wakiwa wamebinua makalio na kuweka instagram.
ILA..
Deep down wanajua kabisa...
Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.
Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na...
Katika hali isiyo ya kawaida ambayo nimeifanyia utafiti mikoani na mjini na vijijini, wanawake ukidate naye hawazi tena kinga na akuilizi na akiona unataka sana kinga anakwambia zinaniletea fungus...
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.
Juzi wakati nipo mahali nilikutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.