Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye...
Wanawake Walioolewa...✍🏾
1). Kamwe usimkalipie kwa sababu yoyote mumeo. Ni ishara ya kutokuwa na heshima.
2). Usielezee udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki. Matokeo yake yatakurudia wewe...
Hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana.
Kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti.
Mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za...
Kuna kundi la wanawake wanasema hakuna ulazima wa mwanamke kuolewa au kuishi na mwanamume maana saivi kila mtu anajiweza bila kujali ni wa jinsia gani na hata kama mwanamke ataolewa basi hakuna...
Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na...
Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure).
Hata baada...
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu...
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua...
Kipindi nipo hapo dar es salaam katika harakati za utafutaji, nilikuwa ni kijana mpenda starehe sana ukisikia bata boy basi ndo mimi.
Weekend moja nimetoka na mwanangu mmoja bangi sana, tukaenda...
Naomba mnisaidie katika hili.
Miaka 4 nyuma nilichaguliwa kujiunga na mafunzo fulani, moja ya masharti hayo yalikuwa kupima kundi la damu na magonjwa mengine.
Basi nikaamua kukamilisha mapema...
Habari zenu Wakuu,
Kama tunavyojua kuwa ukifanya jambo baya basi malipo ni kesho kwa Baba au hapahapa Duniani.
Sasa leo nataka nikujuze hukumu za watu wanaonyonya sehemu za siri hapa Duniani na...
Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa , basi na kwa wale wenye changamoto Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amina
Michezo ya mipira ya miguu au inayofanana na hiyo ni burudani na kushabikia...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
For a longtime, nimekuwa najaribu kutafuta shortcut and a figure out a way ya kutoka kimaisha! Sio kutoka hela ya mboga, kutoka kutoka kweli...
Sifupishi naandika ndefu ili muelewe somo
Ndugu wana jf, pasi na kupepesa macho tunajua na kufahamu kwamba siku zote wanawake wavivu ni adui wa maendeleo ya familia, adui mkubwa wa uhai wetu...
Akufaye kwa dhiki ndiye rafiki na unawezaje kutambua rafiki wa kweli ni muhimu katika maisha yetu. Hizi ni baadhi ya ishara muhimu za rafiki wa kweli:
Rafiki wa kweli ni mtu ambaye unaweza...
Habari za usiku wana jf.
Leo nimekuja kutoa mkasa mmoja uliotokea siku 2 nyuma juu ya hawa wanawake.
Nina rafiki yangu sana ambaye alikua na mpenz wake ambao wamedumu kwa miezi kama 9 wakiishi...
jamani leo ningependa tujadili hiki kitu
sometimes unakutana na watu wanakugusa kwa tabia zao
quality fulani ambazo pengine unatamani kuwa nazo lakini huna
au huwezi kuwa nazo.....
mfano wapo...
Ni story ya zaman kdg, inaweza kua funzo kwa KE na ME walio kwenye ndoa au mahusiano serious .
Ni hivi,
Ilkua ndo kipind kifupi tangu nmemuoa mke wangu kipenzi MAMAG A.k.a Mama wawili, na ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.