Wanawake wavivu ni mzigo wa mateso kwa kwa watoto na mwanaume, epuka kufungamana nao kama unajipenda

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Sifupishi naandika ndefu ili muelewe somo

Ndugu wana jf, pasi na kupepesa macho tunajua na kufahamu kwamba siku zote wanawake wavivu ni adui wa maendeleo ya familia, adui mkubwa wa uhai wetu wanaume pamoja na watoto wetu na ni chanzo kikuu cha familia kuonekana haing'ari ipo hovyo , watoto kuonekana rafu, wachafu na dhaifu sana na hata mwanaume kudhohofika kwa matatizo ya presha na moyo akiwawazia wanae huku akijutia moyoni kuoa na kuzaa na mwanamke mvivu

* Mwanamke mvivu kamwe hatoweza kukupa tamuu kwa ufasaha unyandue uburudike, atakuambia mimi na lala zangu wewe piga ukichoka funika, mauno hato kupa atabaki kukuambia kachoka mara mapaja yanauma. huta furahia tendo , hutoshusha sukari vizuri utabaki kuumia moyoni mwishowe ushindwe kufanya maendeleo

* Mwanamke mvivu hawezi nyonyesha mwanao kwa kuhofia matritri yake kulala, mwanamke mvivu atamlisha mtoto wako miogo ya barabarani, chipsi , biskuti, juizi za makopo , vichwa na miguu ya kuku isiyo hata na mnofu huko njiani anapoenda kuzurura na kupiga umbea badala ya kutumia hela uliyompatia ya matumizi kumlisha mtoto na yeye kula mlo kamili, mtoto ataugua kwa kukosa mlo kamili utaishia kupoteza hela kumtibu badala ya kufanya maendeleo

* Mwanamke mvivu siku nzima anakua online kazi yake ni kuzurura mitandaoni huku na huko, utamkuta kila mahali anapost picha huku kabinua mater-co, mwanamke mvivu akiamka asubuhi cha kwanza anawasha data badala ya kuomba (kusali) nakuanza kusafisha nyumba. Mwanamke mvivu atakupigia mwanaume makelele asubuhi ili uondoke haraka kwenda kazini yeye arudi kulala zake huku kaacha data on.

* Mwanamke mvivu siku zote za maisha yake hawezi kuamka mapema asubuhi kumuanda mtoto aende shule, hawezi kumuandalia mumewe chai na maji ya kuoga hayo ataona ni majukumu ya mwanaume kufanya pia, mwanamke mvivu hata kuogesha mtoto aende shule akiwa msafi hawezi na hii yote ni kutokana ifikapo alfajiri wakati azana inalia yeye utamuona anavuta shuka na kujikunyata huku akisingizia kuumwa pamoja na baridi

* Mwanamke mvivu siku zote analalamika sana kwa jambo hata ambalo anaweza kulifanya, kazi yake kubwa ni kutoa lawama kwa mume na kwa watoto, mwanamke mvivu badala ya kukupa akili na ushauri wa maendeleo yeye atakua anakuacha ufanye mwenyewe ili akucheke kimnya kimnya na akulaumu ukikosea na hapo hapo akulinganishe na wanaume wengine

* Mwanamke mvivu ni mchafu mainzi hayatoisha nyumbani kwenu, hawezi kutunza malazi, wageni tukija tutakuta vyombo vichafu vimerundikana hovyo na maji machafu yamejaa kwenye ndoo, hawezi kuanda chakula bora na kilicho iva vyema kwa familia , mwanamke mvivu hata kunyoa huko kwa bibi hawezi utakuta anarundika tuu mavu-uzi, hawezi kufua nguo kwa wakati atakusanya marundo marundo kwa kisingizio cha kwamba kuna siku maalumi ya kufua, ewe mwanaume ukiona mwanamke mvivu mtalala pachafu, mtakula uchafu muuwe na hela muelekeze kwenye matibabu badala ya kuwekeza kwenye maendeleo

* Mwanamke mvivu hana akili ni mpumbavu amedumaa kifikra, upeo wake wa kufikiria ni finyu sana , ndugu ukioa mwanamke mvivu tegemea kabisa maisha ya kucopy na kupest kutoka kwa mkeo, mwanamke mvivu kazi yake ni kuiga maisha ya watu na ya mitandaoni na kukuletea wewe ndani, ataiga kudekeza mtoto atakuletea ndani, ataiga maisha ya tamthilia huko na upumbavu wake atataka uishi nae kizungu , huyu hafai ndugu utakosa amani ya moyo na hakika utakufa

* Mwanamke mvivu hawazi maendeleo anawaza kujiweka sop sop smart aonekane mrembo kumbe ndani kuna nuka mpaka kwenye malazi, mwanamke mvivu siku zote atataka kutumi nguvu kubwa aonekane mrembo, atabandika makucha makubwa yale ya bandia, atabandika makope ya bandia n kujipaka marangi rangi (makeup) ili aonekane mrembo, hatoweza kukusaidia chochote maana anajua akitokwa jasho makeup itafutika, akishika mtoto anajua kabisa atakojolewa na kunuka mkojo, ewe mwanaume epuka mwanamke mvivu kama unapenda kuishi salama

* Mwanamke mvivu nyumbani hakuishi ugomvi, atawekeza nguvu kubwa kwenye kugombana na watoto huku akikuchanganya na wewe mwanaume huko ili umuone labda anazidiwa na majukumu, mwanamke mvivu kuywa ni kupiga makelele , kutuma na kupelekesha wanao kwa vikazi anavyo viweza, mwanamke mvivu daima atakua anacharaza watoto viboko ukiwa wewe baba yao haupo mpaka wanyong'onyee haswa waumwe, watoto washikwe na sonona na presha wa kiwa wadogo kwa hofu na kumuogopa mama yao alafu uanze kukimbizana hospitali

* Mwanamke mvivu ataishia kununua manguo mengi ili asiwe anafua mara kwa mara, mwanamke mvivu atakua na maviatu mengi sana , mabegi na mafurushi makubwa makubwa ya nguo nyingi lengo ni ili asiwe anafua mara kwa mara, ukioa huyu ukawa na watoto nae nyumba yenu itanuka uvundo, manguo yatajaa kitandani mpaka kwenhe makochi na nyingine uvunguni mwakitanda daima mtakua masikini sana epuka kabisa ndugu mwanaume

Mwanaume ukitaka kuoa achana na kuangalia mater-co, angalia sana usije angukia kwa mwanamke mvivu kama kweli unapenda wanao na unajipenda weww mwenyewe
 
I ain't gon' be cooking all day
I ain't your mama
I ain't gon' do your laundry
I ain't your mama
I ain't your mama
I ain't your mama
When you gon' get your act together
I ain't your mama
Nooo I ain't your mama
Nooo I ain't your mama

unaendeleaje chomboni ?
 
Somo zuri sana kwetu wanaume 🙏
 
Back
Top Bottom