Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,373
Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure).

Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho yaendelee kumburudisha mwanamke ambaye atazaa kwa uchungu tu.

Umasikini wa wanaume, hasa wazazi ambao wamepewa jukumu na Mungu kuandaa Urithi hadi kwa wajukuu ndio umepelekea kuibukq kwa mafuriko ya wanawake wadangaji, wapenda pesa na Pseupoprositutes ( Wanawake wanaojiuza kwa kificho, wafanyao tendo la ndoa kama chanzo cha mapato).

Nilitaka kuandika uzi wa kuwaponda wanawake wanaopenda starehe na pesa wakati namaliza para ya mwisho roho wa Bwana akanipa haya mafunuo.

Tafakari: Madhambi na makosa mengi ya wanawake wa kulaumiwa huwa ni wanaume ukichunguza kwa kina.

Ni hayo tu.
 
Story za Mungu ni hadithi za kutungwa zilizotungwa na wanaume wenye mifumo dume ya kizamn ndio maaana mwanamke kwenye hizi dini kuu mbili amechorwa kama kiumbe dhaifu cha kumilikiwa .
1696405253762.jpg
 
Story za Mungu ni hadithi za kutungwa zilizotungwa na wanaume wenye mifumo dume ya kizamn ndio maaana mwanamke kwenye hizi dini kuu mbili amechorwa kama kiumbe dhaifu cha kumilikiwa .View attachment 2945195
Unaweza kutoa mtazamo wako kwa dini yako ya Atheism. Maana hujajibu hoja, hoja bado iko yatima, umetoa tu hisia zako juu ya dini. Hii inakufanya kuwa na matumizi duni kabisa ya Ubongo.
 
Ni kweli wameumbwa waishi maisha mazuri lakini pia ikumbukwe kuwa waliumbwa na vitendea kazi vyote vya kama mikono miguu ubongo miguu Nk ili viwasaidie ku-achieve hayo maisha mazuri
 
Unaweza kutoa mtazamo wako kwa dini yako ya Atheism. Maana hujajibu hoja, hoja bado iko yatima, umetoa tu hisia zako juu ya dini. Hii inakufanya kuwa na matumizi duni kabisa ya Ubongo.
Hoja ni ipi apo ? Ukishaweka hadithi za Eden na story za Mungu zisizo thibitika moja kwa moja umetoka njee ya hoja.
 
Back
Top Bottom