Ndugu zangu
Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya...
Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom...
Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja.
Sifa za mwenzi ninayemtaka
1. Awe na umri kuanzia...
Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha.
Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee...
Nimeshaona mara kwa mara watu wakiuliza kama mwanamke anaweza akawa wa kwanza kumjulisha mwenzake kwamba anamhitaji kimwili, na ni namna gani anaweza kufanya hivyo.
Kwa mwanamke anaejiamini na...
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia...
Habari yako Broo nilikuwa naomba unipostie changamoto yangu ile niweze kupata ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 20 mwaka huu mwezi wa 8 natimiza miaka 21 nilikuwa naomba unisaidia kupost changamoto...
Bwana ee kijana wa watu kwenye pita pita hapa na kule huu mtaa ninao kaa bwana vimbwanga vingi.
Niliwaambia kipindi kile mazingira ya geto yalivyo, zimejaa bitch zinawasha ni upupu, aisee...
Habari ndugu zangu,
Katika kundi la wanawake zangu kadhaa wa kadha nilionao, nimejikuta nimeangukia kumpenda binti anayetokea na kukulia maeneo ya Mlima Meru huku Arusha ndugu zangu.
Nipo nae...
Ndugu zangu
Hivi viumbe tunu ya mioyo yetu sijui akili zao zipo wapi. Japokuwa mimi ni muhanga wa kataa ndoa ila sikatai kuishi na mwanamke, nitaishi na mwanamke uchumba sugu hakika.
Hivi...
Kuna wakati tunakuwa na hisia usiku wa manane au tukiwa tumepumzika mchana na wenzetu wako kwenye usingizi mzito na hatutaki kuwaamsha.
DADA ANGU FANYA HILI
Ukiwa kwenye hisia kali basi wakati...
Habari za wakati huu wapendwa kuna kitu kwa kweli kimenitokea nikaona kama kuna madhaifu kwangu au la . Jana nimelala na mwanmke bwa na nilikuwa nime dhamiria kufanya mapenz. Kanishika uume...
Hii Game hua niliipenda Sanaa, sio unakua na kajitu kanyonge, masaa hayapiti kanalia.
Mda mwingine inabidi uwe na mtu anayekutingisha kidogo, hata thamani yake utaiona.
Mimi nilikuaga na Mchezo...
Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa.
"Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe".
NB...
Kama una date dem wa kinyakyusa hakikisha hatokei Kyela. Wanawake wa Kyela wana viburi sana alafu wanabishana sana, anaweza kukufokea hadharani ukabaki unajilaumu kwanini ulioa. Alafu wanapiga...
Wanaume bwana,siku ya kwanza kudangaywa,
Nilikutana na mwanaume supermarket moja akanitongoza
Nilipomuuliza unajishughulisha na nini? Alinijibu anafanya kazi Shirika la Reli (TRL)
Tukaendelea...
Habari za Leo wakuu.
Kuna ujinga fulani ulisha waingia wanaume, wakifanikiwa tu huwa hawakumbuki watu waliowasomesha au kuwapa mitaji.
Wengine walisomeshwa ili wazikomboe familia zao lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.