Kama wewe ni mwanaume shababi na hauitaji kuoa, husijichue au kwenda kununua malaya madhara ni makubwa mno.
Fanya hivi kupunguza akshi za ngono funga saumu za sunnah siku ya juma tatu na al -...
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct
Lakini kuna...
Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi.
Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi...
Kuna desturi inayoaminika na kujengeka katika mahusiano kwamba wanaume ni wepesi sana wa kuwasilisha hoja na dhamira zao juu ya uhitaji wao pale wanapotaka kufanya mapenzi, kuliko wanawake.(ni...
Habarini za usiku wapendwa
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa...
Habar wana JF,
Juzi kati nilipokuwa kijiweni kwetu, tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali kuhusu maisha, mara ghafra rafiki yangu ponda mali akaja na mada za mahusiano/mapenzi.
Mada hiyo alipa...
Nimesikitika sana rafiki yangu wa Miaka mingi alivyotaka kunigeuka
Niko mkoa x nimekuja nina Kama siku 3 nikamtonya best yangu kwamba nipo alipo bila hiyana akasema kadogo2 usiondoke bila kuonana...
Wakuu hii imekaaje, yaani Mwanamke akishakuwa mzuri tu basi unakuta ni Mdangaji?
Hivi hawawazi kuhusu future zao? Au wana guarantee?
Yaani ukikuta mzuri basi ana wanaume zaidi ya 50, anauza...
Kuna hali flani katika mahusiano ambayo si kila mtu anaijua ila kuna baadhi huwakuta na huwafanya washindwe kudumisha mahusiano yao. Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniomba ushauri kuwa mpenzi...
Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae...
Mpendwa mzazi, ili uweze kuwalea watoto wako vizuri, inakubidi pia ujitunze wewe mwenyewe kwa kuilinda afya yako, ya mwili na ile ya akili. Leo tutaongelea zaidi namna gani unaweza kuilinda afya...
Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu.
Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la...
Haya ni baadhi tu ya majukumu ya Mume kwa mke, majukumu hayo yanatambuliwa kabisa na Biblia hivyo si vyema kupingana na maandiko...
1. Kumpenda kwa dhati mkewe
Mungu anaamuru kila mwanamume...
Ukitaka salam nenda Baraza la kata kalalamike waje wanikamate.
Kuhusu muandiko m sio mwalimu bhana.
Huu uzi ni kwaajili ya kuelezana uongo ulioutumia kumpata demu.
Mi naanza nilimdanganya kua...
Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani,
Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au...
Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee
Wakati namuoa tulikubaliana...
Wakuu nimempakia abiria wangu mzungu kutoka wavuvi Hadi mikocheni kwa warioba akanipa hii akaniambia nimrudishie 5000..Sasa hi itakuwa Bei gani je kanipiga?
WANTA
My name is Wanta,The big girl herself, the strongest one among our group of four matured ladies. Yaan strongs ile Ngangarii, u know what I mean ndugu msomi.
Sio kwamba niko Strong sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.