Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,277
21,455
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasababu ya hasira na jaziba zinazo mshinda kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua huu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila nimtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasababu sometime nasafiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia whatsapp, ukiondoa huu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
 
Hi ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasbb ya hasira na jaziba zinazo mshida kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua hu ni ugonjwa, je hu ugonjwa unatibiwa je wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila ni mtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasbb some time na safiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia what up, ukiondoa hu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Mna magonjwa ya akili.
 
Hii ni mara ya pili huyu mwanamke anapasua simu yake kwasbb ya hasira na jaziba zinazo mshida kuhimili akili zake, lakini anajutia baada ya kufanya hilo, bila shida kama mwana saikolojia najua hu ni ugonjwa. Je, huu ugonjwa unatibiwa? Je, wenye uzoefu na matukio kama haya naomba ushauri.

Leo kaomba msamaha na iko tayari kupokea adhabu yoyote ila ni mtafutie simu nyingine tena ya tachi, ni kweli kua na simu ni muhimu kwake na mimi hususani ya simu kubwa, kwasbb some time na safiri nje ya nchi lazima nimpe maelekezo ya familia na maendeleo kupitia what up, ukiondoa hu ushauri wa vijana wengi eti mpelekee moto, adhabu gani anastahili kupewa ili akomeshe hiyo tabia.
Umeoa Psychopathy
 
Back
Top Bottom