Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Hiz ni code zitazokufanya usifeli popote 1. Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid. Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi...
18 Reactions
69 Replies
4K Views
Miaka ya nyuma wakati wa likizo ya kidato cha tano kuelekea cha sita niliwahi kutana na binti mrembo tu. Nikamsalimu "mambo", aliishia kunisonya! Ndipo nilipomsogelea karibu na kumuuliza sababu ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nmesikitika sana baada ya kukaa na kuangalia vijana wa sasa jinsi walivyo na mambo haya hivi kweli, Nimeangalia hii video sijaelewa lengo zima la hawa wanaume lilikuwa ni nini? Yaani mnataka...
11 Reactions
227 Replies
23K Views
Ukiona dada anakuchekea kwenye gari ya abiria. usirudishe tabasamu mpaka alipe nauli. utakuja kunikumbuka baadae
14 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako. Naomba kuwasilisha
8 Reactions
32 Replies
2K Views
From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za jioni ndugu waumini wa kataa ndoa Leo naleta kisa changu Nivumiliwe ishu ya uandishi Mimi ni kijana umri 34 nilibahatika kupata mwenzangu ambaye pia alikuwa mwajiliwa mimi nikiwa...
46 Reactions
206 Replies
11K Views
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikuwa busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
31 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari za muda huu JF? Je huwa ukitoka safari unamnunulia mwanamke zawadi? Kama ndiyo, ni zawadi gani unapenda kumnunulia/anapenda kuletewa? Karibu...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kwanza napenda kumshukuru mh rais sana. Halafu kwa niaba yangu pia najishukuru. Huyu demu muda flani nlimwambia naomba show. Akawa na maneno mengi kidogo na kutaka nimbembeleze. Mi sikuwa na muda...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show...
55 Reactions
276 Replies
17K Views
mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nilioa miaka 4 iliyopita, kisha nikaghaflika nikazaa na mwanamke mmoja baada ya mke wangu tu kujifungua. Sasa mwanamke huyo anataka kuolewa na anayemuoa...
7 Reactions
98 Replies
8K Views
Kumekua na maneno mengi na vitisho vingi juu ya kutaka kuujua ukweli kuhusu mwanamke . Ila siku mwanaume ukaujua ukweli huu ndio siku ambayo utakua huru na kukomboka kifikra. Utaishi maisha...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Leo ndoa nyingi wanaume wengi tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya...
4 Reactions
3 Replies
434 Views
Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
1. Punguza marafiki kwa sababu wapo marafiki ambao wanaweza kua vikwazo vya mafanikio yako na hauwezi kuwajua unapo kua nao na kuishi nao na kula nao unacheka nao na wengine unalala nao wengine...
13 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana. Japo kipato changu ni cha kawaida sana...
3 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom