Wanawake wengi siku hizi ni mashetani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa kabisa. Vitoto vya 2000 nako haviko nyuma hasa katika Instagram na Facebook reels kuanzia bongo, Kenya mpaka South Africa kote kumechafuka hakuna Tena siri yaani kiungo kilichobaki cha siri ni Figo na ini. Na unakuta mwanamme anaoa mwanamke kisa kavutiwa na kalio afu ukute mwanamke anajirekodi Facebook na kutupia video Zake akitwerk.
 
Ukiona mwanaume anawaona wanawake mashetani ujue ana mkwamo mkubwa wa kifikra . kidini na KIUCHUMI
mimi nawaonaga matahira watu wa hivi.
Sasa muulize kaandika ili iwaje? Kwamba akishasema ni mashetani shetani huyo anakimbia, anaongezeka au inakuaje?
Kuona mambo kama hayo kunaonyesha mtu hana kazi ya kufanya na anayafatilia. Kwani ukiwa unaangali mpira hata utube, inatagram yako na mitandao mingine utakuwa unaletewa chaneli za mipira.
ana hali mbaya kiuchumi+ upwiru + punyeto.
Muwaonee huruma watu wa hivi ni wakuwaombea tu
 
unakuta mwanamme anaoa mwanamke kisa kavutiwa na kalio afu ukute mwanamke anajirekodi Facebook na kutupia video Zake akitwerk.
Ndio maana vijana wameamua kukataa Ndoa.

Hoja yao kuu ni "KWANINI UOE MALAYA NA KUMUWEKA NDANI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa kabisa. Vitoto vya 2000 nako haviko nyuma hasa katika Instagram na Facebook reels kuanzia bongo, Kenya mpaka South Africa kote kumechafuka hakuna Tena siri yaani kiungo kilichobaki cha siri ni Figo na ini. Na unakuta mwanamme anaoa mwanamke kisa kavutiwa na kalio afu ukute mwanamke anajirekodi Facebook na kutupia video Zake akitwerk.
Point yako ni ipi?ushauri,taarifa au simulizi?
 
Back
Top Bottom