Ulishawahi kuopoa pisi kali club au mazingira yoyote ya starehe?

mimi kistobe

Member
Nov 25, 2023
99
277
Kipindi nipo hapo dar es salaam katika harakati za utafutaji, nilikuwa ni kijana mpenda starehe sana ukisikia bata boy basi ndo mimi.

Weekend moja nimetoka na mwanangu mmoja bangi sana, tukaenda 5N night club ipo mkabala na mliman city mall.

Kama kawaida tukaanza kushusha vyombo taratibu mziki mzito, watoto wa chuo na malaya wamejaa kibao

Mishale ya saa 8 hivi usiku nilikuwa nimelewa sana, nikaona huu ndo muda wa kutafuta demu nikamlaki shetani

Kupiga jicho vizuri naona pisi moja imenyooka hatari na inacheza mziki kama ametoka mbele huko yupo na shoga ake wanakunywa desperado

Nikamtuma mwanangu akajaribu hata namba, msela kafika pale demu alimuangalia msela angu kwa dharau sana jamaa akawa mpole akarudi.

Mishale ya saa 10 kasoro nikamsogelea demu mwenyewe huku nimeshika desperado 2 nikampa akapokea yule shoga ake alikuwa ameshaondoka, nikamuumbisha mtoto kwamba nimemuelewa sana kama hatojali tusepe tukalale

Akaniuliza maswali ya ajabu ajabu nwisho wa siku akaingia 18 nikavuta usafiri tukaingia lodge mitaa hiyo hiyo ya sinza

Tumeingia lodge nikaiingiza kwanza upepo maana mtoto ni mkali sana kumbe sikumuona vizuri na zile akili za pombe, mtoto akanisukuma kitandani akaanza kunivua nguo zote kwa mahaba ya kutosha hilo tabasamu lake wakuu unaweza ukauza shamba usiku ule.

Lile wenge langu nikataka nichomoke ududu, mtoto akaniambia acha papara hii mali ni yako leo, mtoto akaanza kunipa massage ya nguvu akashuka mpaka kwenye miguu kaanza kuninyonya mwili mzima mpaka kwenye kucha

Mimi hapo nipo hoi hata kuongea siwezi tena, alivyomaliza utundu wake akaja juu akaikalia taratibu, nikama nilipigwa na shot ya umeme

Nilikula sana yule mtoto, nimeamka asubuhi saa 2 hivi mtoto kajiandaa akanipa namba zake akasepa, yaani hakuomba hata mia ya nauli akasema anawahi kazini.
 
CCM mbele kwa mbele!

IMG_20240203_221912.jpg

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Daku umekula lakini?
 
Uliuza mechi mwanangu mbona hamsikii lakini
 
Back
Top Bottom