Huwezi kuheshimika ikiwa ulie nae anajitosheleza kimahitaji ukitaka akutii mfanye awe muhitaji

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,856
Leo ndoa nyingi wanaume wengi tunalia wanawake wetu hawana adabu hawatuheshimu wanatupangia unyumba, nk mnasahau kitu kimoja ya kwamba ili uheshimiwe lazima kuwepo na kitu kitachokufanya uheshimiwe, mtoto humuheshimu baba yake kwa sababu ya mahitaji yake, mwananchi anamuheshimu kiongozi wake sababu ya mamlaka yake ya uamuzi.

Kwamba leo hy wewe mwananchi ukikosea au ukavunja sheria za nchi kuna jera, kwahiyo ukiwaza kumbe kuna mamlaka huwez leta upuuzi, ndio sawa na mapenzi, mke anamuheshimu mumewake sababu mume sio ana mamlaka no unaheshimiwa sababu ya mahitaji unayompatia mkeo, na ukitaka hiyo heshima idumu chukua mfano huu, usimfunze muuza, samaki kuvua samaki ikiwa wewe ni mvuvi.

Kwa maana ukimfunza kesho utakosa wakumuuzia, kwa maana muuzaji atajua namna ya kuwapata, kama hujanielewa, ni hivi wanawake wa dhaman na wasasa ni walewale tabia ni zile zile isipokuwa kilichobadilika ni style ya sasa ya jinsi ya wanaume wa sasa wanavyoishi na hao wake tofaut na wanaume wa zaman walivyokuwa wakiish nao
 
ujumbe umefika mkuu
 
No formula shagala bagala unaweza pata tegemezi 100% na akawa kipengele vilevile, ukipata wa kusafiri kwenye ma seminar ndo hatari na nusu wanaliwa kama njugu!

Yote kwa yote kama mwanaume nalia na wenzangu jukumu kuu la mwanaume ku take care ya watu wake (mke, watoto, madogo, mama, dada). Mwanaume play part yako kua protector, provider, kuwatibu etc hakikisha unapambana jino kwa jino! hakika watoto wanakua wanajiobea tofauti ya baba mpambanaji na wa kijiweni! Hata mwanamke anaona wazi aina ya mtu alienae pambana hadi pembezoni mwa dunia bila kujali matokeo yake bila kutaka acknowledgment or validity yoyote na ndo uanaume!

Mwisho ni malezi, ndo chimbuko la yote tunayoona leo hii hv familia ya single mom ukute feminist unakuza aina gan ya kidume kwa mfano? Au mwanaume mlevi or whatever dysfunctional families unategemea product ya watoto wamenyooka! Family values ndo imezaa mabalaa yote haya kwanzia machoko, wakimbia majukumu na takataka zote ni chimbuko la home dho kuna few exceptional cases
 
Na uzi kama hz ni za watu wenye akili timamu wewe ziro iq huwez jua cha kuchangia hapa upite kimya
 
Back
Top Bottom