Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

Daydream

Member
Oct 26, 2023
58
328
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.

Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya ahadi unamuambia bila hata yeye kukuuliza kwamba hela unayotegemea kumlipa bado hujaipokea ila unamuhaidi kwamba haitovuka siku tatu nitakua nimekupatia tena zaidi hata ya uliyonipa.

Lakini kesho yake kabla hata siku uliyomuahidi kumrejeshea haijapita anaanza kuulizia tena kwa fujo yani kana kwamba wewe hujawahi kumsaidia pesa yoyote tena bila hata ya kuhitaji kurejeshewa

Je, ni kosa kumlipa hela yake na kuvunja uhusiano kimyakimya?

NB: Lengo sio kumdhulumu hela yake ila naongelea reaction yake katika kukudai kana kwamba anahisi unataka kumdhulumu hela ndogo kama hiyo

Nini maoni yako au mtazamo wako kwa mtu kama huyo ambae umeshamsaidia pesa nyingi tena mara nyingi bila hata ya kumkopesha?
 
Je ni kosa kumlipa hela yake na kuvunja uhusiano kimyakimya ?

NB: Lengo sio kumdhulumu hela yake ila naongelea reaction yake katika kukudai kana kwamba anahisi unataka kumdhulumu hela ndogo kama hiyo

Nini maoni yako au mtazamo wako kwa mtu kama huyo ambae umeshamsaidia pesa nyingi tena mara nyingi bila hata ya kumkopesha ?
lipa deni wewe acha kutafuta faraja
 
Mnavipa umuhimu Vitu visivyo na msingi.

Yani 20,000/= ndio ya kuvunja mahusiano? Na huyo Mpya utakayempata utampiga sound gani? Si Bora hata huyo anayekuazima visenti mbuzi usolve shida zako.

Sasa jichanganye ukutane na Kausha damu ndio utajui hujui.
Rudia kusoma tena uzi kwa umakini
 
Mnavipa umuhimu Vitu visivyo na msingi.

Yani 20,000/= ndio ya kuvunja mahusiano? Na huyo Mpya utakayempata utampiga sound gani? Si Bora hata huyo anayekuazima visenti mbuzi usolve shida zako.

Sasa jichanganye ukutane na Kausha damu ndio utajui hujui.
Kausha damu wa Dsm ni hatari mkuu,

umechukua namba tu text ya pili baada ya wewe kumcheki anakuita baby,my, mpenzi,sweetheart, ukijibu tu ni vizinga vya laana..
 
Ongeza ufundi jamaa kamasutra inahusu, pagawisha awe anazileta mwenyewe au anakuulza hutaki mkopo? bado humfikishi mt meru.

Nb: very thin line kati ya kuongeza ufundi na kuongeza makero kukamia (no mcongo needed)
 
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.

Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya ahadi unamuambia bila hata yeye kukuuliza kwamba hela unayotegemea kumlipa bado hujaipokea ila unamuhaidi kwamba haitovuka siku tatu nitakua nimekupatia tena zaidi hata ya uliyonipa.

Lakini kesho yake kabla hata siku uliyomuahidi kumrejeshea haijapita anaanza kuulizia tena kwa fujo yani kana kwamba wewe hujawahi kumsaidia pesa yoyote tena bila hata ya kuhitaji kurejeshewa

Je, ni kosa kumlipa hela yake na kuvunja uhusiano kimyakimya?

NB: Lengo sio kumdhulumu hela yake ila naongelea reaction yake katika kukudai kana kwamba anahisi unataka kumdhulumu hela ndogo kama hiyo

Nini maoni yako au mtazamo wako kwa mtu kama huyo ambae umeshamsaidia pesa nyingi tena mara nyingi bila hata ya kumkopesha?
Hela ni ndogo kweli ila na wewe ni mdogo sana kichwani, mtupu, mweupe kbs.
Unavunja uhusiano kisa afu 20? Unafikiri anakupenda huyo? Angekupenda angekupa sio kukukopesha.
Fanya hivi tafuta pesa uheshimike vinginevyo utalelewa kwa tabu sana ndugu.
 
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.

Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya ahadi unamuambia bila hata yeye kukuuliza kwamba hela unayotegemea kumlipa bado hujaipokea ila unamuhaidi kwamba haitovuka siku tatu nitakua nimekupatia tena zaidi hata ya uliyonipa.

Lakini kesho yake kabla hata siku uliyomuahidi kumrejeshea haijapita anaanza kuulizia tena kwa fujo yani kana kwamba wewe hujawahi kumsaidia pesa yoyote tena bila hata ya kuhitaji kurejeshewa

Je, ni kosa kumlipa hela yake na kuvunja uhusiano kimyakimya?

NB: Lengo sio kumdhulumu hela yake ila naongelea reaction yake katika kukudai kana kwamba anahisi unataka kumdhulumu hela ndogo kama hiyo

Nini maoni yako au mtazamo wako kwa mtu kama huyo ambae umeshamsaidia pesa nyingi tena mara nyingi bila hata ya kumkopesha?
Huyo anafaa kuachwa mara moja, si mtu wa kuishi naye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom