Men Code

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Hiz ni code zitazokufanya usifeli popote

1. Hakikisha Unapiga pipe kwelikweli
Kama uko 18-50 jitahidi uwe unapga pipe au uwe na mahusiano valid. Kama hupigi pipe Heshima sahau utaonekana ni pisi kali (Hapa si lazima uwe malaya)

2. Jitahidi miziki yako iwe Hip pop au nyimbo za jeshi

Achana na amapiano,sijui kina zuchu au zile nyimbo za taratibu hzi zote ni 🚩

3. Jitahidi usije kulia Hadharani hata kama Umeumia vipi
Men do not cry, nyie wa mahisia ni 🚩
Sijui umemkumbuka marehemu mama yako unalia we n 🚩
Epusha mazoea ya kuonesha hisia too much

4. Angalia movie za kijeshi na mieleka
Usipende movie za kikorea ni 🚩
Wale wa jua kali🚩
mwanaume unafuatilia sultan🚩

5. Usioneshe affection kwa mwanaume mwenzio hata kama ni kaka au baba yako
  • Sijui i love you dady🚩 mwanaume anasema baba nimekubali
  • Sijui i love mom🚩
Mara i miss you kwa mwanaume mwemzio hata kam n siblings🚩
Text za mambo🚩
Sijui una body zuri🚩

6. Usipige Nyeto,sijui video sex,wala kuangalia porn au picha za utupu
Hapa unaharibu ubongo na nguvu za kiume hivo unakua ume vunja code no 1 ( ya Mwanaupe piga pipe)

7. Tafuta Hela zako/ Usipokee cha bure kama hujafanya kazu au kumsaidia mtu.Hata bia ndio mwanzo wa kupigwa pipe kupenda mtunguo
 
Men Code: Hakikisha mtoto wa kiume unavaa Ndula kama hizi na sio Jordan.

20240225_102605.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom