Naombeni Ushari: Aliniacha na kwenda kupata mimba pengine

Kitukuu JR

Member
Feb 12, 2023
34
31
Kama title inavyoeleza, Mimi ni kijana umri (27)Kuna bint (23) nilianzisha nae mahusiano nikiwa na malengo na matarajio makubwa na yeye na tulipendana.

Japo kipato changu ni cha kawaida sana nilijitahidi kumthamini na kumhudumia chochote kitu nilipopata

Cha ajabu na tamaa alizokuwa nazo akaniacha akaenda kwa mfanyabishara na kuzaa nae mtoto
Baada miaka Gafla amenitafuta na kuombaa msamaha anadai yeye huyo jamaa wameshindwana sababu ya kipigo na hamtunzi mtoto wao.

Ananisihi bado ananipenda anaomba turudiane,

Wakuu nifanye nini maana naona amekuwa king'ang'anizi kunitafuta kuomba hela na kulazimisha mahusiano yarudi kama zamani.

Na mimi sina hisia naye tena.
 
Aanakupenda sababu ameshindwana na jamaa. Wasingeshindwana asingekutafuta. Amka bro you are being used
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom